Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi kusema kweli coffee scrub sijawahi kufanya wala kutengeneza...

Mimi nina uso wa mafuta pia ...

Nikishanawa uso natumia cleanser ile ya eskinol baada ya hapo kama ni asubuhi natumia vitamin c serum na sunscreen nimemaliza...

Usiku cleanser,moisturizer na retin a sema imeniishia sasahivi ,chunusi zinatokea mara chache sana tena mbili tatu basi

Tafuta hiyo eskinol nzuri sana mimi naitumia toka niko binti halafu bei ya kawaida sana chukua ya lemon ndio nzuri...
Shangazi bwana,eti toka niko Binti
 
Uzuri wa tekno wereva hazikatagi chaji kirahisi
Yaaani hapa ni kuwasumbua tu na tekno yangu..ila Angalau hata hii tekno imenipunguzia manyanyaso ya Davet ya kuinyambua Infinix yangu kwa kuiita kabati.
🤣🤣🤣 yule fan wa simu nzuri nzuri tu. ..
 
Mimi kusema kweli coffee scrub sijawahi kufanya wala kutengeneza...

Mimi nina uso wa mafuta pia ...

Nikishanawa uso natumia cleanser ile ya eskinol baada ya hapo kama ni asubuhi natumia vitamin c serum na sunscreen nimemaliza...

Usiku cleanser,moisturizer na retin a sema imeniishia sasahivi ,chunusi zinatokea mara chache sana tena mbili tatu basi

Tafuta hiyo eskinol nzuri sana mimi naitumia toka niko binti halafu bei ya kawaida sana chukua ya lemon ndio nzuri...
Asante ngoja niitafute

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom