Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
[emoji16] Shangazi labda uwahi maji ya kunya nayo yanaelekea kuisha View attachment 2216554
Amesahau alikotoka🤣🤣Tangu awe na pazia nyingi basi wenye set Moja hatupumui[emoji1787]
😂😂😂😂😂Amesahau alikotoka🤣🤣
Wacha tu tumfichie siri
Nacheza na rangi hizo miaka yote. Sitoki nje ya hapo.[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo ukiwa na hizo unafunga hesabu? Hata ukiokota hela?
nipo hapa mzungu nasubiria ya kigauni fanya wepesi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upo au?
Wee kasome kwan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umetumia lugha ngumu??
Nauliza ili nisije toka mweupe.
Bomba dabo halafu dirisha kama zote.Inategemea dirishani umeweka bomba za aje… kama ni single pazia moja fresh…
Double ni pazia 3
Kidg maroon at list, hapo kwangu hazinishawishi bado.Maroon
Mustard yellow ziko bomba pia
😂😂😂😂 Kwani vpi?Tangu awe na pazia nyingi basi wenye set Moja hatupumui[emoji1787]
Weee kwa hizo pozi ni Hatari..na uzee wangu huu sidhani kama naweza kukunja miguu hivotena!!Acha upambeeee wee shouzzz, huo uzungu nautoa wapi mie? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Emu hama hapo nyumbani ndio uje kuongea na mimi 🙄Bomba dabo halafu dirisha kama zote.
Kudadeq badilisheni tu pazia..Mimi nikibadilisha sana za vyumbani zinaenda sebuleni,za sebuleni vyumbani nishamaliza kazi[emoji2096]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyooo, afu ukija tena unibebe za cream km ulizokuta hapa boss, [emoji6][emoji6][emoji6]Kama zile nilizikuta kwako mwaya[emoji6]
Si ukafue 😅😅
😅😅😅 chapati nne zinatosha shangazi au waongeze mbiliWaambie waandae supu nyingine kwaajili ya shangazi bila kusahau chapati
Nyama iwe laini maana shangazi meno yanatingishika..[emoji2][emoji2]
DuhNot army green… ni kama apple green flani hivi
Nakupuuuuzaaaa 🗑Kwendaaa
Hizo mbwembwe za kusema nimekupuuza mnazo nyie watu wenye makasiriko ya stoo[emoji2][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096]
Shangazi mm nimepata pimples katk kipind Cha MP zimenikomesha zinaniachia makovu natka nitengeneze coffee scrub Ila sijaelewa namna ya kuchanganya upande wa mafuta coz ninauso wa mafuta pia NinaYeah aunt jackies pia nzuri mimi nilikua natumia curl la la
Dark?,Green niliiona kwa mtu
Imetulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ile green nini sijui wanaita.. wacha green ya CCM
PoaaaahWee nitumie kule bana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani vpi?
We mbona tokea ujue kuna gram za kkoo hutupumzishi wenye zero gram?