Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na mwanaume ukiona amainua mkono hivi ujue pia amejikaza akashindwa na mwanamke amemdhihaki vyakutosha, wanaume asili yetu sio waongeaji ndiyo maana defence mechanisms yetu ni kutishia we nitakuzaba ukiendelea hapo he didn't mean a thing ila unapozidi sasa kuonyesha jeuri utomvu wa nidhamu ndiyo hatari inakua zaidi
Aisee kunamwingine no mbabe hawez kubembeleza kabisa au kuongea kwa ustaarabu imagine mtu anampiga mwanamke Hadi anazimia na sio Mara moja nasikia alikuwa anampiga Sana tu hata kosa liwe lake

Nilipomuuliza sababu akasema tukigombana akinuna hapikinikamdunda kha sasa umemuudhi mwenzio apike aungue iyo hamu ya kula anaipata wapi

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Wapo sana sema wanawake hawasemi wanaogopa aibu...
Mwanamke ambae umempata kwa maneno matamu na mazuri hadi akakubari, huna haja ya kutumia nguvu au kumuumiza, tumia hayo hayo maneno mazuri na matamu kumfanya utavyo.. ikiwapo kumjenga, kumrekebisha n.k.. atumie maguvu kaishapoteza kitu tayari bila kujua 😎😎😎

Ulie mpata kwa maneno mazuri uta mmentain kwa maneno mazuri,

Ulie mpata kwa pesa utatumia pesa ku maintain

ulie mpata kwa mielekea utatumie mieleka ku mmentain 😁😁
 
Mwanamke ambae umempata kwa maneno matamu na mazuri hadi akakubari, huna haja ya kutumia nguvu au kumuumiza, tumia hayo hayo maneno mazuri na matamu kumfanya utavyo.. ikiwapo kumjenga, kumrekebisha n.k.. atumie maguvu kaishapoteza kitu tayari bila kujua

Ulie mpata kwa maneno mazuri uta mmentain kwa maneno mazuri,

Ulie mpata kwa pesa utatumia pesa ku maintain

ulie mpata kwa mielekea utatumie mieleka ku mmentain
Amina mtumishi
Umenena vyema kabisa

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke ambae umempata kwa maneno matamu na mazuri hadi akakubari, huna haja ya kutumia nguvu au kumuumiza, tumia hayo hayo maneno mazuri na matamu kumfanya utavyo.. ikiwapo kumjenga, kumrekebisha n.k.. atumie maguvu kaishapoteza kitu tayari bila kujua

Ulie mpata kwa maneno mazuri uta mmentain kwa maneno mazuri,

Ulie mpata kwa pesa utatumia pesa ku maintain

ulie mpata kwa mielekea utatumie mieleka ku mmentain

Mjomba wanaume wengine ni wababe tu wa asili anaona akitumia maneno kama anajishusha vile...

Ila asilimia kubwa ya wanaume wanaopiga wanawake mimi naona wana tatizo la kutojiamini...
 
Shangazi kuna wavulana, vijana, wasela , na mwanaume . Hakuna mwanaume ( real man ) anaweza mchapa mke makofi na hakuna ubabe kwenye ndoa, kukishakuwa na hali ya ubabe kwenye ndoa jua tu hiyo ndoa haina maisha marefu na hata kama itakuwepo basi ni maumivu kwa upande mmoja. Uanaume sio ubabe , uanaume ni hekima ndio maana kichwa kama kichwa katika familia na hakina hekima tatizo hilo shangazi
 
Aisee kunamwingine no mbabe hawez kubembeleza kabisa au kuongea kwa ustaarabu imagine mtu anampiga mwanamke Hadi anazimia na sio Mara moja nasikia alikuwa anampiga Sana tu hata kosa liwe lake

Nilipomuuliza sababu akasema tukigombana akinuna hapikinikamdunda kha sasa umemuudhi mwenzio apike aungue iyo hamu ya kula anaipata wapi

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Violence at home must stop watu wengi wanakufa kisa vitasa, mwanamke akizingua mwanaume mwenye hasira nenda nje kapunge upepo ukirudi mambo yanakua shwari
 
Shangazi kuna wavulana, vijana, wasela , na mwanaume . Hakuna mwanaume ( real man ) anaweza mchapa mke makofi na hakuna ubabe kwenye ndoa, kukishakuwa na hali ya ubabe kwenye ndoa jua tu hiyo ndoa haina maisha marefu na hata kama itakuwepo basi ni maumivu kwa upande mmoja. Uanaume sio ubabe , uanaume ni hekima ndio maana kichwa kama kichwa katika familia na hakina hekima tatizo hilo shangazi

Kweli kabisa mjomba...
 
Violence at home must stop watu wengi wanakufa kisa vitasa, mwanamke akizingua mwanaume mwenye hasira nenda nje kapunge upepo ukirudi mambo yanakua shwari
Ni heri Mara Mia utoke Tena km sie wengine tukilala tukiamka hasira zimeisha hainahaja ya ngumi Ila yule angeniua maana kunasehemu zangu ukinizingua lazima unidunde

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Wasukuma madikteta sana aisee.

Nilishaangaa eti kwenda kumsalimia ndugu yetu,ndugu yetu anasema mpigieni kwanza baba Fulani simu ya kuomba ruhusa ya kuja!
Chaaaaah!!!

Mimi nina dada yangu ameolewa naa msukuma...wakati wa kuondoka huwaga dada haruhusiwi kunipa nauli,ananipa yeye mwenyewe shemeji kudadeq.
Ulishaona wangapi madikteta?

Nina marafiki wengi Wasukuma nawajua in and out na ni mifano mizuri sana katika ndoa zenye amani na maelewano. Mimi mwenyewe na miaka yangu hii 76 sijawahi hata kumfinya mwanamke na hata maeksi zangu wote tuliachana kwa upendo na amani sana; na mpaka leo baadhi yao bado tunasadiana katika ishu za hapa na pale.

Wasukuma wababe nadhani ni kizazi cha baba zetu kinachomaliza muda wake hiki. Hawa vijana wa sasa wengi angalau wamesoma na kidogo wanajua mambo. Labda tatizo ni nyinyi mabinti wa kisasa wasomi ambao hata hamjui nafasi ya mwanamke na mwanaume ni ipi katika nyumba. Full uanaharakati na kudai usawa uliopitiliza kimo. Usawa wenyewe hata mkipewa bado unawashinda. It is like you want to eat your cake and have it too. Na hii ndo sababu kuu wengi wenu hamuolewi sababu ya uanaharakati, usomi na kujifanya mnajua kila kitu. Hata mkiolewa mnaachika kwa sababu hamuwezi kuheshimu majukumu ya mume katika nyumba na kutimiza majukumu yenu kama wake.

Hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mwenye mutual respect na anayejua wajibu na majukumu yake na ya mume ndani ya nyumba; na kuyaheshimu.

Kizazi chenu hiki kimevurugwa ndo maana hata ndoa hazina maana tena. Na kila upande unautupia mpira upande mwingine.

Turudi kwa Mungu tuelewe lengo lake hasa la kuanzisha ndoa lilikuwa ni nini. Vinginevyo ni vurugu tupu na bila ndoa zenye amani na upendo, hakuna familia bora na matokeo yake jamii nzima inaangamia.

Mungu na Atusaidie kwa kweli!
 
Shangazi kuna wavulana, vijana, wasela , na mwanaume . Hakuna mwanaume ( real man ) anaweza mchapa mke makofi na hakuna ubabe kwenye ndoa, kukishakuwa na hali ya ubabe kwenye ndoa jua tu hiyo ndoa haina maisha marefu na hata kama itakuwepo basi ni maumivu kwa upande mmoja. Uanaume sio ubabe , uanaume ni hekima ndio maana kichwa kama kichwa katika familia na hakina hekima tatizo hilo shangazi
Wanaume wanaopigwa na wake zao wana mkutano kesho kule Kigamboni. Muende huko nao mkawape maneno ya kutia moyo
 
Back
Top Bottom