Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,750
- 182,843
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe sio wa kunifanyia hivi jamani!
Nimefanya nini mimi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe sio wa kunifanyia hivi jamani!
Hebu hukooSi kwa mikono eti
Hivi kweli auntie wewe ni wa kunitenda kiasi hicho kabisaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimefanya nini mimi?
Hahahaha basi Msubhate ndiyo mshambuliaji bora kuwahi kutokea humu JF
Unaongea na nani etiTaja tu.
Jamani 😋😋😋
Nisindikize zilipoZipo nyingi saaana
Ulipotelea wapi jamani? Mith you.Itakuwa ni wajina maana hata hafai kuwa pacha.
Karibu dar
Hata mimi nawashangaa ujue!! Hebu tumeni picha jamani.Picha ziko wapi nyie
💃Nikijiandaa kwenda kufungulia...View attachment 1250497
Tena we unyamaze 😂😂😂 sijaona hata kidole chakoHata mimi nawashangaa ujue!! Hebu tumeni picha jamani.
Yaani hapa auntie sidai tena mahari hadi umzalie watoto 6.Hivi kweli auntie wewe ni wa kunitenda kiasi hicho kabisaa
Mweeeeh!! Kumbe haikuquote[emoji134][emoji134]Unaongea na nani eti
Natoa darasa la ubashiri wa picha.[emoji12][emoji12][emoji14][emoji14]waarabu wa pemba twajuana kwa vilemba
Yan umefanya hadi nimejaribu hapa, akiii miguu inaumaa.Ukiwa hauna hela hadi nne haikunjiki?? [emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 1250572
Natoa darasa la ubashiri wa picha.
Yan umefanya hadi nimejaribu hapa, akiii miguu inaumaa.