Nimefuta kauli mimi jamani, na zile comment mezifuta dear [emoji39]
[emoji8][emoji3059][emoji7][emoji8]
Basi uwezo wako wa kubashiri bado unahitaji maboresho makubwa sana kama hapo umeiona 2000 mnyakyusa mwenzangu.
HuhI'll dear, gotta bounce for now i have these peeps to catch up with...nikirudi
Meshakumbuka, nlibanwa na majukumu.Unasahau vipi kitu muhimu hivyo jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji88][emoji88]hizo hapo
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Kipi kiku aibishacho?
Pole sana jamani...Meshakumbuka, nlibanwa na majukumu.
Hahah hivi unajua kwako sipinduki sijui umenimezesha nn...takuwekea wewe tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji848]
Hii midomo ndio inaita watu mafurushi [emoji848]
Namshukuru Mungu, ananipigania kila leo, pamoja na changamoto zooote, bado napumua na afya njemaPole sana jamani...
Uko poa lakini
Leo ulimi unateleza tuu jamani, umekula nini eti jamani
Khaaaah!! Watu wana kazi sio kidogo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pale unapohisi umefuta picha kumbe zimebebwa
Hakutuma bana
Analazimisha tuwolewe wawili mie muoga ndegeOhoo hapo sasa ni sheeda
[emoji173]