Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_0007.JPG

Kontena supu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi kumbe gilesi ni bujibuji??
Ama kweli kuwa uyaone siyo maghorofa bali makubwa!!

Ila mwanaume kujifanya mwanamke ina ukakasi kidogo maana kwa jinsia wanavyojitutumua humu ni ngumu kuamini kwamba mwanaume anaweza kuwa na id ya kike na akaandika kama mwanamke kabisa
Bujibuji akawa gilesi, kanungura karimu akawa kinondoni sweetheart.

Sijui wanatakaga kugundua nini[emoji1745][emoji1745]
Au labda jf ndio mahali wanapoweza kuwa wale wanaotamani kuwa ktk jamii halisi ila wanaogopa jamii itawachukuliaje[emoji134][emoji134]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbeya mjini sina ndugu wa karibu mama nilienda kusoma chuo tu sasa nimeshamaliza, ndugu zangu karibu wote wako Dar labda kina bibi na babu ndiyo wako Kyela napo kuenda kuwatembelea ni mara moja moja sana.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Kwamba mmehama ukoo mzima?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbeya mjini sina ndugu wa karibu mama nilienda kusoma chuo tu sasa nimeshamaliza, ndugu zangu karibu wote wako Dar labda kina bibi na babu ndiyo wako Kyela napo kuenda kuwatembelea ni mara moja moja sana.
Ooooh!! Hongera sana.
 
Back
Top Bottom