Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Dada dini zetu haziruhusu uke wenza ujue
We hujui kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake? Unakubalije kushindwa haraka hivyo?
Haya DiasporaUSA ushindani hakuna tena. Beba wote Karma na Sakayo


