Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Moja kwa moja kutoka bush moja linaitwaa IGWACHANYA mkoani Njombe nimekuja siku ya tatu leo,hapa ni mgahawani napata soda na maandazi makuubwa,hahaa so interesting.
1572596685282.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka hadi nimeanguka chini
Hivi cute b watoto wazuri unawajua lakini?? Mungu anakuona ujue eti!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]niacheni mimi na sura ya dingi yangu
Mtoto mzuri hivyo unaficha sura kwa kutumia ma zombie. Tumekukosea nini lakini[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom