Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Strawbella shangazi nimekuona...haya usitoke hapo nikubariki mie..😘
Tulia hivyo hivyoSasa nakitingishaje kijacho??
Lazima nitulie
.Heaven Sent
Usipigane
Vita ni ya Bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana
Usipigane
Vita ni ya Bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana
Acha kutarajia, ishundi
Kwa nguvu zako mwenyewe mmh mmmh
Vita ni ya mungu
Mwache ye atakupigania tu
Acha kuhangaika, na wanadamu
Ili kuongeza jeshi lako eh eh eh
Hao ni wanadamu ,ni watu tu
Watakuhunisha tu eh eh eh
Alimwanbia musa waambie Israel
Watulie waone wokovu wangu wangu leo
Maana wamisri hawa wanaowaona leo
Hawatawaona tena eh eh eh
Yesu nae kajiita Bwana wa sabato
Sabato maana yake pumziko
Tabasamu katikati ya mapito
Ukimwamini Bwana
Usipiganeee
Usipigane
Vita ni ya Bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana
Usipigane
Vita ni ya Bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana
Kuna yale
Ya wewe kufanya
Na kuna yale ya mungu kufanya
Usimsaidie
Yale yak wake maana hautaweza
Usitikiswe na uhalisia
Usiyumbishwe na mazingira
Iwe unaona, au huoni
Ye anapigana eh eh eh
Usiogope ile ripoti ya dakitari
Usiogope lile deni la ile benki
Usiogope ile kesi mahakamani
Anakupiganiaa
Usiogope utavaa shela lako
Usiogope udogo wa kanisa lako
Usiogope maneno na fitna zao
Vita ni ya Bwana
Usipiganeeeee eeeeeh
Tangu mafuta yamepanda bei,tutaona mengi snAisee ni kweli.
Ila maisha yanakwenda kasi sana yaani.
Natafuta boyfriend
Habari za jioni wapendwa.. Natafuta boyfriend.. Mengine yatazungumzika pm 😂 Ahsanteni sanawww.jamiiforums.com




Wewee!Naomba ile mayonise iliyobaki.



Strawbella shangazi nimekuona...haya usitoke hapo nikubariki mie..![]()
Na lawama zote zimwendee Putin!



Jambo hili lenye huruma
Wewee!
Jana hiyo hiyo niliitupa. Si kwa aibu ile![]()
jaman sasa si bora ungenigawia kuliko kuitupa.Pm inaonekana imejam,traffic ni kubwa mno,nasubiri wapungue pungue kidogoUmeshaenda PM?
Itakuwa alienda kwanza kabla hajaja kuwatonya mabaharia wa selfikaUmeshaenda PM?



Pm inaonekana imejam,traffic ni kubwa mno,nasubiri wapungue pungue kidogo


Nhatale ikoloyeOgachimile aganīkī ako gagifanyaga gazunya gatale ga kwenūko ma mologolo bageshi?![]()
Lol nilijua ushatoka nikaenda kupuyanga huko kwingine.. Ngoja niangalie angalie hapa shangaziPresent madame
Unajua mwanamke nae ana machaguo yake..unaweza kuta ametegesha mtego ili samaki waingie wengi lakini yeye anamtaka mmoja Tu aliyemkusudia..pengine naweza kuwa Mimi😅Utakuta manyoya jombaa![]()
Itakuwa alienda kwanza kabla hajaja kuwatonya mabaharia wa selfika![]()


leo mabaharia watakesha...