Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Kwa kweli inabidi kupunguza gharamaNdio kilicho baki...
Shida zinatufanya tuwe wabunifu..
Kwa kweli inabidi kupunguza gharamaNdio kilicho baki...
Shida zinatufanya tuwe wabunifu..
Usiwe unachemsha mizizi ya bangi… ni shidaHapo ndio shida
Kwani ni lazima kutumia mafuta jamani? Mafuta yanatajwa kuwa ndo kisababishi kikuu cha cardiovascular diseases duniani kote na hiki ndicho #1 killer duniani. Mamilioni ya maisha yanaweza kuokolewa kama watu wataacha kutumia mafuta. Mwezi mmoja tu wa kula chukuchuku unatosha kusafisha mishipa ya damu na kuondoa mrundikano hatari wa lehemu (cholesterol) mwilini.Kwa kweli wasituchoshe




😂😂😂😂😂 yan kuimbisha tu mpaka ugonge tubia kadhaa?Ngoja kwanza nikale bia kama 4 hivi kichwa kikae sawa nije nititirike hapa hapa, yaani mi najua kuimba.
Nilishawahi kumuimbisha manzi mmoja kitaa, kumbe kuna ka bibi kanatusikiliza dirishani, yule bibi ilibidi aingilie kati, uvumilivu ulimshinda nilisikia anasema "we dada, mh mkubalie tu huyo kaka".
Sasa leo Depal nakuimbisha mpaka ukubali, yaani leo ndio leo.
HongeraHela ya kula chips yai na pepsi inaishia kwenye kucha… udada ni kazi….
View attachment 2215537

Kwani ni lazima kutumia mafuta jamani? Mafuta yanatajwa kuwa ndo kisababishi kikuu cha cardiovascular diseases duniani kote na hiki ndicho #1 killer duniani. Mamilioni ya maisha yanaweza kuokolewa kama watu wataacha kutumia mafuta. Mwezi mmoja tu wa kula chukuchuku unatosha kusafisha mishipa ya damu na kuondoa mrundikano hatari wa lehemu (cholesterol) mwilini.
Kwa kweli yaendelee tu kupanda!![]()


Aah yalianza kupanda kitambo na hayana dalili ya kushukaHayashuki yanacheza bei hapo hapo
Mwaka jana kuna mtu alinunua mafuta litre 3 kwa 27000 hatukuamini tukawa tunamuambia amepigwa hapo sasa hivi tumeelewa aisee
Sijataka hata kujaribuHahah
Chips yai mchemsho
Kuna challenge hiyo Facebook
Kwa kweli bora tupunguze cholesterol mwilini. Sasa hivi utatusikia tu "dada kuwa makini, mafuta mengi sio mazuri kwenye chakula". Kumbe mambo yetu ya bajetiKwani ni lazima kutumia mafuta jamani? Mafuta yanatajwa kuwa ndo kisababishi kikuu cha cardiovascular diseases duniani kote na hiki ndicho #1 killer duniani. Mamilioni ya maisha yanaweza kuokolewa kama watu wataacha kutumia mafuta. Mwezi mmoja tu wa kula chukuchuku unatosha kusafisha mishipa ya damu na kuondoa mrundikano hatari wa lehemu (cholesterol) mwilini.
Kwa kweli yaendelee tu kupanda!![]()
Oooh mirija ya damu kutoka kwenye moyo ilivyoziba,walinikataza nisitumie mafuta aisee, nilipata tabu,lakini nilishazoeaKwani ni lazima kutumia mafuta jamani? Mafuta yanatajwa kuwa ndo kisababishi kikuu cha cardiovascular diseases duniani kote na hiki ndicho #1 killer duniani. Mamilioni ya maisha yanaweza kuokolewa kama watu wataacha kutumia mafuta. Mwezi mmoja tu wa kula chukuchuku unatosha kusafisha mishipa ya damu na kuondoa mrundikano hatari wa lehemu (cholesterol) mwilini.
Kwa kweli yaendelee tu kupanda!![]()

Ah kweli aiseeAah yalianza kupanda kitambo na hayana dalili ya kushuka
Mimi nimeijaribu sema inanoga ukikatia kitunguu , carrot na hohoSijataka hata kujaribu
Si ndio maana naumwa hapaUnadhani kijacho
Ni kama kula
Ubwabwa maharage![]()
Usinambie hii nimwikosa??😭😭😭Haya kaa hapo hapo shos nikupe selfii moko kwanza!!
Irudiweeee irudiweeeesanteeeeeeehh....
😘♥️
Kuna jamaaUsiwe unachemsha mizizi ya bangi… ni shida



😂😂😂 na we si umkatizie denge?Kuna jamaa
Nimeona anakukatia
Front of me
Halafu kipong leo inakuwaje![]()
Mafuta wanapambana hawa wa mjini, kuna maeneo mafuta bure kabisa na ni mazuri sanaKwani ni lazima kutumia mafuta jamani? Mafuta yanatajwa kuwa ndo kisababishi kikuu cha cardiovascular diseases duniani kote na hiki ndicho #1 killer duniani. Mamilioni ya maisha yanaweza kuokolewa kama watu wataacha kutumia mafuta. Mwezi mmoja tu wa kula chukuchuku unatosha kusafisha mishipa ya damu na kuondoa mrundikano hatari wa lehemu (cholesterol) mwilini.
Kwa kweli yaendelee tu kupanda!![]()
Hela ya kula chips yai na pepsi inaishia kwenye kucha… udada ni kazi….
View attachment 2215537
