Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Hehhee akafie mbali tuKumbe ni X!
Muache akafie mbele
Nilidhani ni mams.. niombee msamaha![]()

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Hehhee akafie mbali tuKumbe ni X!
Muache akafie mbele
Nilidhani ni mams.. niombee msamaha![]()

Ngoja kwanza nikale bia kama 4 hivi kichwa kikae sawa nije nititirike hapa hapa, yaani mi najua kuimba.Ayeeee
🤣🤣🤣
MfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuHaka kakijacho kanatusumbua![]()
Boss hongera sana, nimeona nanhii kule na nanhii hapaKama shangazi vile 😎View attachment 2215406
Sijui mambo ya kiingerezaNimeyaona majengo ya st. nini nini university
Mie 😎😎Boss hongera sana, nimeona nanhii kule na nanhii hapa
Hebu jaribu zote mbili upige picha mi nikuchagulie, nakusubiri.. chap
dahEeeeeeh au unafikiri nani mwingine? Nimeona kitu kule prayer mountainMie 😎😎
Alafu acha nikafute 😅😅 unafaa sana kuwa mchunguzi huru.. kama umeweza kuona hicho nimekuvulia kofiaEeeeeeh au unafikiri nani mwingine? Nimeona kitu kule prayer mountain
Nina macho yote. Ngoja nisiharibu surprise basi. Ila kongole sanaaaaaaaAlafu acha nikafuteunafaa sana kuwa mchunguzi huru.. kama umeweza kuona hicho nimekuvulia kofia
Totally true. Nimejifunza kuwa Business Analyst in a matter of months yote kupitia Youtube na Udemy...nikafanya mtihani nikafaulu na kupata cheti. Remote contracts as a side hustle vijisenti vya kununua cheap wine havikosekani. There is so much free knowledge out there if you wanna truly change your life - either for fun or otherwise.
Na hiyo nanhii ya pili umeielewa?Alafu acha nikafute 😅😅 unafaa sana kuwa mchunguzi huru.. kama umeweza kuona hicho nimekuvulia kofia
⭐️⭐️⭐️⭐️⭐️ wachache wenye kuangalia details , kama una VAR vile 😇😇Nina macho yote. Ngoja nisiharibu surprise basi. Ila kongole sanaaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅😅 Uliyosema vile akili ika click pote pote .. na nimepita nazo zoteNa hiyo nanhii ya pili umeielewa?
Mimi ni mama Pastaaaaaaa⭐️⭐️⭐️⭐️⭐️ wachache wenye kuangalia details , kama una VAR vile 😇😇
😅😅😅 Uliyosema vile akili ika click pote pote .. na nimepita nazo zote
Usiniambie
Ndio bei mpya ya mafuta[emoji848
✍️✍️✍️.. Nitaanza fanya review kabla sija publish nisije kata wire siku moja 😊😊. Asante sana, usingesema nisingeshtukaUwe makini sasa😂😂😂