Naa is Fearless KingNyani mzee[emoji848][emoji848]
Ngoja wapishi wajeWanauzaje kwani mafuta ya kula sasa hivi?[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂 Ubarikiwe✍️✍️✍️.. Nitaanza fanya review kabla sija publish nisije kata wire siku moja 😊😊. Asante sana, usingesema nisingeshtuka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Wacha wee.Ngoja wapishi waje
Halafu nipo hapa
Karibu na pale
Nashusha
Kwendraaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unabisha?
Hapo ndio shidaNaa is Fearless King
Unadhani kijacho[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unabisha?
Korie ya kupima litre ni 6400Wanauzaje kwani mafuta ya kula sasa hivi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari mwaka huuKorie ya kupima litre ni 6400
Hatari mwaka huu
Hayashuki yanacheza bei hapo hapoHatari mwaka huu
Kwa kweli wasituchosheTutachemsha tu hadi chipsi wasituchoshe[emoji2][emoji2]
HahahTutachemsha tu hadi chipsi wasituchoshe[emoji2][emoji2]
Hayashuki yanacheza bei hapo hapo
Mwaka jana kuna mtu alinunua mafuta litre 3 kwa 27000 hatukuamini tukawa tunamuambia amepigwa hapo sasa hivi tumeelewa aisee
Hahah
Chips yai mchemsho [emoji23][emoji23]
Kuna challenge hiyo Facebook
Ooh yeahIle sundrop lita tatu ndio bei yake hiyo...
Ooh yeah
Haya yalikuwa korie kwa bei hiyo