Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,847
Kumbe kuna games? Sina taarifa.. Enjoy brazaHapa leo sibanduki ni bandika bandua
Naanza hapa kushuhudia NBC premier nahamia EPL
Kumbe kuna games? Sina taarifa.. Enjoy brazaHapa leo sibanduki ni bandika bandua
Naanza hapa kushuhudia NBC premier nahamia EPL
We fanya yote ila stori utuletee [emoji23] ole wako sasa.Kivuruge niache kwani, [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28]
Nimetoka kufanya test asubuh, nkaingia chimbo nakutan na story ya kuzizima, ubongo umevurugana hapa, hata sielewi yaan.
Afu leo bado sijaamka na mtu, na sielew atakua wa uraian, JF, FB, twitter, chimbo au wapi.
Yaan hadi nimalizane na mtu, akili itatulia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] wee tulia hapo CRDB uhesabu pesa za watu.Akili gani sasa itatulia? Mbona mimi naona hauna akili?
Hahahaha Cocaaa
Story hii nakosaje kuiweka JF? sijastaafu umbea na ukuda bado, ndo kwanzaa nipo level ya PhD. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We fanya yote ila stori utuletee [emoji23] ole wako sasa.
Kheee yamekuwa hayo tena binti wa tiharahey? 😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] wee tulia hapo CRDB uhesabu pesa za watu.
Mie genius wee, hivi hujui eeeeh? Nawakalisha huku watu na hawaamini yaaan
Haya nasubiri.Story hii nakosaje kuiweka JF? sijastaafu umbea na ukuda bado, ndo kwanzaa nipo level ya PhD. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chizi wee.Kheee yamekuwa hayo tena binti wa tiharahey? [emoji23][emoji23]
Hongera kwa kuwa giniaz
Kabisaaa utulie.Haya nasubiri.
Mjep ametoka kuzichota nyingi… ongea nae 🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chizi wee.
Yaan nimecheka km mwehu hapa.
Nipumzishe kwan, hebu nigawie kwan mapene nitusue mtaan, niseme nna dada wa hiyari mwenzenuuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha ukorofi shos!!😉😘Kivuruge niache kwani, [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28]
Nimetoka kufanya test asubuh, nkaingia chimbo nakutan na story ya kuzizima, ubongo umevurugana hapa, hata sielewi yaan.
Afu leo bado sijaamka na mtu, na sielew atakua wa uraian, JF, FB, twitter, chimbo au wapi.
Yaan hadi nimalizane na mtu, akili itatulia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Madam Habari yako mkemiaAcha ukorofi shos!![emoji6][emoji8]
Wee shouzzz upooo?Acha ukorofi shos!![emoji6][emoji8]
Mungu ni mwema mkuu nipo Njema sana! I hope uko vyedi mkuu!
Haya kaa hapo hapo shos nikupe selfii moko kwanza!!Wee shouzzz upooo?
Hebu nibariki na selfie yako.
Nasubir hapa yaan. [emoji3059][emoji3059][emoji3059]Haya kaa hapo hapo shos nikupe selfii moko kwanza!!
Nipo vyedi nasubiri hio moko mkuuMungu ni mwema mkuu nipo Njema sana! I hope uko vyedi mkuu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watoto wa UD tupo vyedi mnooo. Vipi unaondoka sasa hivi au?Nipo hapa sayansi naona wanafunzi wa Ud mpo vizuri .
Zaidi ya miaka elfu 2 sasa na yupo karibu kurudi dunianiLini?