Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
kwa hio unae boyfriend ama mme, hebu mkuu funguka kuna jambo fulani.Poa 😅😅
Ninae..
kwa hio unae boyfriend ama mme, hebu mkuu funguka kuna jambo fulani.Poa 😅😅
Ninae..
Ooh bora hivyoNataka nikatafute ukwaju na dawa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakushangaaa
Hata hujui kuchangia bill ya maji, ila lomoni sasa [emoji23][emoji23]
Hata masikio sijatoboa 🤣Kwendaaa
Uringe
Wewe makapu yale yanakutosha[emoji23][emoji23]
Ndiwooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata king'amuzi sijui kulipia[emoji23]
Ila nipo timu gram 10 bwana,makapu msitubabaishe
Nina BFkwa hio unae boyfriend ama mme, hebu mkuu funguka kuna jambo fulani.
Kumbe ni X!
Maana nahisi linataka lianze Tena[emoji3064]Ooh bora hivyo
Uwezo wangu umeishia hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
Siwezi kuwa timu kapu[emoji1787]Ndiwooo
Kaa na uwaridi unukie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata masikio sijatoboa [emoji1787]
Eeh pole wahi dawa tu hapoMaana nahisi linataka lianze Tena[emoji3064]
Subiri kukutwa na bwana pepsi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe kama Mimi!
Hata makapu Sina ila nasumbua tu watu.
Likizidi nitaenda hospital..Eeh pole wahi dawa tu hapo
Halafu uende na hospital endapo likizidi
Ipi hiyo?Subiri kukutwa na bwana pepsi
Anhaa kumbe kuna jamaa anafaidi mzigo, anhaaaNina BF
Ooh sawaLikizidi nitaenda hospital..
Ila nataka nijaribu kula kwanza, yawezekana ni njaa
AyeeeeAnhaa kumbe kuna jamaa anafaidi mzigo, anhaaa
halafu nikajua umeolewa, kama ni BF hio haipo serious saaaaanaa
hapo nahesabu jimbo halina mgombea, hio ni serikali ya mpito..
sasa ni hivi natangaza vita navamia nachukua jimbo la Mariupol kama Russia vile..
Kama shangazi vile 😎Kama mjomba vile...