Selfika na JF: Snap it. Show it

Itabidi uu-copy somewhere + tembeza codes za kutosha. Na uandike kwa ufasaha
Jaman hivi ntaweza, nlivyo na hasira na huyo mheshimiwa, hivi kweli mtu unachukua nyota za watu,

Nimecheka eti anahonga mil 1, mpokeaji akianza kuwaza jambo la maana la kufanyia, bas ghafla atatumia hovyo hiyo hela, anakuja kustuka ishaisha

Dunia ina maajabu hii.

Huu uzi ntaandka kwa code za kirumi.hahahah
 
Cheki mate yanavyokutoka sasa🤣🤣 kama nakuona vile, ningekuonyesha vyupa je??
Weka namba hapa nikucheck maana kazini hata sipajui dogo
Vyupa vya nini? Mimi situmii

Unazingua braza 😂🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…