Ukitaka pic ya mtu unaweka kwanza pic yako na vocha juu [emoji23][emoji23]Zipi hizo nawee? Hebu huko nifanyie wepesi.
Poua, mzma??
Weekend poa sana rafiki, unajidai wapi leo au unatulia tu home??Mungu ni mwema habari ya wikiendi
Yaani zako leo zimenipita zote. Hata raha hakuna yaani [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Ukitaka pic ya mtu unaweka kwanza pic yako na vocha juu [emoji23][emoji23]
Glenn nini bana hebu tupia watu tuondoke hapa tukajiandae na Sabato [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]Glenn haupo sasa na mimi nawahi kweli kufuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani zingne zinakuaga za uongo? Wee khaaahYaani leo nimeweka Nuzu ya ukweli sitaki uwongo siku hizi nimetubu[emoji51]
Utafikiri kweli vile [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Yaani leo nimeweka Nuzu ya ukweli sitaki uwongo siku hizi nimetubu[emoji51]
Weekend poa sana rafiki, unajidai wapi leo au unatulia tu home??
Ni mchanganyiko wa cheese, mayai na maziwa na chumvi kidogo.Hiyo nyeupe ya juu ni mayonise rafiki??
Nitolee upuuzi wako hapa, hebu weka picha bhana aaah.Ukitaka pic ya mtu unaweka kwanza pic yako na vocha juu [emoji23][emoji23]
Bora akija ndo niiweke maana sichelewi kuifuta .Glenn nini bana hebu tupia watu tuondoke hapa tukajiandae na Sabato [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
Haya ngoja tumsubiri huyu mwamba. Glenn hebu njoo kamanda unatuchelewesha huku dah! [emoji51]Bora akija ndo niiweke maana sichelewi kuifuta .
Naomba unikaribishe kula[emoji4]Ni mchanganyiko wa cheese, mayai na maziwa na chumvi kidogo.
Hiyo nyeupe ya juu ni mayonise rafiki??
Karibu sana mkuu.Naomba unikaribishe kula[emoji4]
Sina hata pic mpya wewe cha ukorofi, niliweka hii[emoji41]Nitolee upuuzi wako hapa, hebu weka picha bhana aaah.
[emoji39] Ahsante!!Karibu sana mkuu.
Ipi hiyo?Sina hata pic mpya wewe cha ukorofi, niliweka hii[emoji41]
View attachment 2214540