Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,256
- 49,190
Anne unataka mwenzako nipigwe [emoji23]Kelsea huyo yupo single hapa[emoji23]
Halafu shost hujanipaga umbea wa yule mtu jamani uliyemsema.
Pole rafiki utakua sawa. Usiku mwema pia!Niwatakie usikumwema
Ila mniombee ninahoma aisee naona dawa ishaisha nguvu mwili unadabuka Tena
Goodnight my friends
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Heshima kwenu [emoji23][emoji23][emoji23]wanawake wakiwa wanakojozwa huwa wanabadilika sura, yaani manzi ni mkali ila unakuta sura imekua kama zombie, macho yamepanda juu unaweza kimbia, mtupe heshima zetu wanaume, tunavumilia vingi mno kama wanaume, mwingine anarusha maji kama bomba iliyokatika yaani unaweza ukaoga hapo hapo.
Wanaume acheni tufe mapema tunapitia mengi mno, hebu tuheshimuni.
Njoo pm shost uniambieAnne unataka mwenzako nipigwe [emoji23]
Ugua poleNiwatakie usikumwema
Ila mniombee ninahoma aisee naona dawa ishaisha nguvu mwili unadabuka Tena
Goodnight my friends
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Karibu sana.
Wow yummyKwa msaada wa youtube.. 🙂
View attachment 2214503
View attachment 2214505
View attachment 2214507View attachment 2214507
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Owge. I'll be here waiting...
Na bado nitapost nyingi tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Youtube hio mtoto mzuriWow yummy
Unaonekana chef mzuri
Ahadi yangu[emoji23][emoji23][emoji23]Wow yummy
Unaonekana chef mzuri
Si uselfike wee mwenyewe, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani uzi unascrooll na kuscrooooll hamna picha. Ni chats tu. Sasa lengo la uzi linapotea.
Uzi ni wa ku- SELFIKA na kupost. Ebu tubaki humo.
Hebu nizione bas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapendwa za leo sio geoogle ni kweli nimechoka kujificha[emoji12][emoji16][emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KhaaaahNaam! Tutasikia mengi! Tutaona mengi..
Wazee wa conspiracy theories wako mzigoni kuhakikisha watu hawajadili Bei ya mafuta Tena!
Tayari Sabaya out, mara sio Out, mara Mwijaku n.k..
Haya tutegemee mengi Mengine...
Lakini Bado mafuta Bei ni 3200+ na Zanzibar Bei ni 2600!
Nyie mbna huwa napitwa na picha za huyo mtu. UwiiiiihShukrani sana mrembo..nimekuwahi uko mzuri sana wee mdada unaonekana mtamu balaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] nimecheka km mwehu.wanawake wakiwa wanakojozwa huwa wanabadilika sura, yaani manzi ni mkali ila unakuta sura imekua kama zombie, macho yamepanda juu unaweza kimbia, mtupe heshima zetu wanaume, tunavumilia vingi mno kama wanaume, mwingine anarusha maji kama bomba iliyokatika yaani unaweza ukaoga hapo hapo.
Wanaume acheni tufe mapema tunapitia mengi mno, hebu tuheshimuni.
Wee kichaa mwenzangu, hebu nione picha yako hapa. [emoji6][emoji6]Thnx dia. Nataman niwe bonge nikudoee lile gauni lako nmelipenda [emoji7]
Na mie tuhame wote shangazi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ina maana Mimi ndo zote nimepitwa nihame hii nchi aise[emoji17]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app