cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
[emoji4][emoji4][emoji4]Lenie hivi ili si ndio jengo classic Chuga nzima?
Lift zake zinaumiza ubongo [emoji1787][emoji1787]
Ili si linampita AIM mall parefu?
View attachment 2214266
[emoji4][emoji4][emoji4]Lenie hivi ili si ndio jengo classic Chuga nzima?
Lift zake zinaumiza ubongo [emoji1787][emoji1787]
Ili si linampita AIM mall parefu?
View attachment 2214266
Kwamba hujapika wewe , au umeangalia tutorial YouTube ndo ukapika ?Youtube hio mtoto mzuri
Eeh hujasahauAhadi yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeangalia youtube nikapikaKwamba hujapika wewe , au umeangalia tutorial YouTube ndo ukapika ?
Mie nimependa kwa kweli, lipo vizuri tyuuh.Hahahha lina umri
Tulikubaliana iwe kati yetu ndio mana sikuweza kumtaja nitakua namkosea.Njoo pm shost uniambie
Hiyo nyeupe ya juu ni mayonise rafiki??
[emoji7]
Poua, mzma??Habari za wewe
Ndyooo shangazi, nikomesheeeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kikubwa pumzi
Tukimiliki mashavu inatosha[emoji17][emoji23]View attachment 2214409
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hebu mpost, usiogope bhana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanga ni wengi mno [emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole umepitwa 😂Hebu nizione bas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miss u mlongo, [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Kuna sheria pale juu Coca usijidai hujaziona[emoji23]Wee kichaa mwenzangu, hebu nione picha yako hapa. [emoji6][emoji6]
Hapana nifanyie feva, wallah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole umepitwa [emoji23]
Ooh unaweza aiseeNimeangalia youtube nikapika
Zipi hizo nawee? Hebu huko nifanyie wepesi.Kuna sheria pale juu Coca usijidai hujaziona[emoji23]
Na mm ahadi yangu. Nasubiri.Ahadi yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani leo nimeweka Nuzu ya ukweli sitaki uwongo siku hizi nimetubu😬Hapana nifanyie feva, wallah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]