Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
usiwaze shangazi! I hope uko poa shangazi!!
Nashukuru Mungu niko poa dear....
usiwaze shangazi! I hope uko poa shangazi!!
Asante shangazi!!😘Umependeza nguo nzuri sana[emoji8][emoji8]
Tulia mkuu, namalizia jambo leo natumaBado nini mkuu umeanza ubabaishaji lini lakini!!??🤔🤔
Nahisi usingizi mkuu nadhani nitalala mapema nifanyie namna pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!😜😜Tulia mkuu, namalizia jambo leo natuma
lol kumbe wewe mtu mkubwa mkuu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji12][emoji8]
Ki vipi yani 😀😀lol kumbe wewe mtu mkubwa mkuu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji12][emoji8]
Duh 👐 yani mimi ninavyokuvizia lakini wapiNimekuwah leo.
Hellow!!!
Mtu mwenye kitengo chake fulani katika hii kampuni!![emoji12]Ki vipi yani [emoji3][emoji3]
Dah...hata kutype natetemeka..mzigo hata ukifunikwa turubai lazima uchingulie huukwa nyuma shangazi @StrawbellaView attachment 2212958
Umeanza upambe lini mkuu!!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2960][emoji848][emoji848]Dah...hata kutype natetemeka..mzigo hata ukifunikwa turubai lazima uchingulie huu
Watu Wanafaudu jamani..!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hiyo dress mbona nimeielewa sana mamii , umependeza!kwa nyuma shangazi @StrawbellaView attachment 2212958
Asante diaHiyo dress mbona nimeielewa sana mamii , umependeza!
Huo ndio ukweliUmeanza upambe lini mkuu!!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2960][emoji848][emoji848]
Nikiweka hapa nitakutag rafiki.Duh [emoji114] yani mimi ninavyokuvizia lakini wapi
Kwa kweli MUNGU amekubarkki sn mkuuUmeanza upambe lini mkuu!!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2960][emoji848][emoji848]
Bora useme ww mkuuHuo ndio ukweli
Upambe upo kwa wapi[emoji1787][emoji848]
utawekapo saivi dia au Nikapumzishe tu fuvu langu kwaleo?? 😱Nikiweka hapa nitakutag rafiki.