Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Niungue kwa kipi dada? Kumbe mnaiogopa city eeeh, mlikua mnasubiri matokeo kwanza, hahahah.

Haya nendeni final, mtatupa mrejesho.
Tunasubirije matokeo? Na nilishakuambia hamtoboi tokea Madrid kamtoa Chelsea?
Hehe haloooo
I can see kahuzuni kwa hiyo comment yako 🤣🤣
Ariririiii

Halla Madrid… Let’s fly beib 😂😂
 
City kutolewa n gumzo Duniani kote. .
Nyie nendeni final, sisi tuko buzzy na EPL sasa.

Relaaaaaaaaaaaaaaaax.
Hapana hajawa gumzo

Ila tatizo marehemu alikuwa na mdomo sana, tunamchekaaa.

Jifariji na Epl maana huna namna tena.. ni kama Arsenal akifail UEFA atasema lengo lao la kwanza lilikuwa ni ile kushiriki tu UEFA but deep down ni maumivuuu
 
Eti liver wananyanyua kwapa, wanaota... waambie wasisahau ku-shave kabla ya kunyanyua makwapa yao
 
Hapana hajawa gumzo

Ila tatizo marehemu alikuwa na mdomo sana, tunamchekaaa.

Jifariji na Epl maana huna namna tena.. ni kama Arsenal akifail UEFA atasema lengo lao la kwanza lilikuwa ni ile kushiriki tu UEFA but deep down ni maumivuuu
Sisi hatukua na lengo la kushiriki tyuuh, tulikua na lengo la kunyanyua kwapa, bahati haijawa yetu bas tumeishia semi final,
Tunakuwa buzzy na EPL, huku tukijipanga na UEFA ijayo.

Sisi ndio tulikua tunatazamwa km wabebaji wa ndoo hii msimu huu, hata hawa waliotutoa hawaamini, na wanaoenda final wote wanatuzungumzia sie,

Sisi tunawatakia final njema, na mkaupige mwingi. Enjooooooooyyyy!!!!
 
Back
Top Bottom