Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Karibu mkuuNaomba Mualiko
Karibu mkuuNaomba Mualiko
Tunabeba yoteMie yangu macho tyuuh.
Ila kwa EPL hapana mtatusamehe, pambanieni UEFA mkishindwa huko bas,![]()
Aaaah thubutuu wee.Tunabeba yote
We mtoto ngoja kwanza nisome page za mwanzonimambo yako huko chini.
Baba wa february anasema, "mie ninachotaka mwanangu awe rais bas, sitaki kingine na tusitaniane hapa"
Kheeeeh hadi inaogopesha mweeeeh.

Umbea haujaniacha salama
Asanteni wewe na boss ledi..nimeenda kusoma nipo mdogo mdogo,sema kichwa cheupee naona tu informer sijui mwenyechair..ntaelewa mbele ya safari hopefully.
Unakua kichaa kabisa, tena kweupee.Na usipotuliza akili hutaelewa hata kimoja
Ila ile story inaweza kukufanya uwe mentally disturbed...
Unakua kichaa kabisa, tena kweupee.
Nchi hii hatareee sana.Yaani acha tu...
Nimeisoma pia, nimeelewa machache nimebaki kutoa macho tuYaani acha tu...

Wooow!!



