Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanne??
Wanne kitu gani??
We huwajui wapiga exile vizuri
Anakupiga exile wewe umelala juu wanakuchezesha tu hapo juu wao wapo chini na enclosure yao.

Niwajulie wapi dear
Nilikaa hostel nikiwa first year tu baada ya hapo nikaenda kukaa za nje huko

Kha sasa hayo ni mambo ya ajabu kweli
nilisikia tu hii kwa room za wanaume sikujua hata kuna ke wanafanya hivi .
 
Msiseme sijawaambia,
FB_IMG_16515642953373588.jpg
 
Back
Top Bottom