Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,023
- 61,233
Karibu Kijijini Mjukuu 🤪Eid inasemaje babuuuh.
Karibu Kijijini Mjukuu 🤪Eid inasemaje babuuuh.
Mapema sana nitatia timu nishaanza kujiandaa hapo [emoji115][emoji115]Njoo Kijijini Mjukuu, nimechinja Bata na Bibi yako hapa [emoji85]
Wee shouzzz mbnaa hiyo kitu nimeielewa rangi yake. Aseeeeehcocastic mtoko wangu wa Eid naupiga pasi mapema badae tanesno wasiniletee vipengele!View attachment 2209548
Karibu sanaMapema sana nitatia timu nishaanza kujiandaa hapo [emoji115][emoji115]
Hebu assume km nipo kijijini, nifurahi mjukuuu. [emoji23][emoji23]Karibu Kijijini Mjukuu [emoji2957]
Enzi hizo naenda Mjini kuwasalimia Watoto 🤪🤪Wapi hiyo babuuuh yake? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Enzi hizo naenda Mjini kuwasalimia Watoto [emoji2957][emoji2957]
Pitia nyumbani, tumechinja Bata na Mbuzi kwaajili ya wageni. Karibu sana Mjukuu 🤪Hebu assume km nipo kijijini, nifurahi mjukuuu. [emoji23][emoji23]
Umeanza kunijaza mapema shouz!!!😂😂🤣Wee shouzzz mbnaa hiyo kitu nimeielewa rangi yake. Aseeeeeh
Leo mtoko ni heavy, mweeeeh.
Ahsanteeeh sana babuuu ake.Pitia nyumbani, tumechinja Bata na Mbuzi kwaajili ya wageni. Karibu sana Mjukuu [emoji2957]
Unatoaga wewe utumbo?Hahahaaaa!!! Airtel ni nyokko staili gani za kutoana utumbo hivo!![emoji1787]
Jipodoe na upodoke shouzzz, ukiweka picha hapa had selfika itikisike yaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeanza kunijaza mapema shouz!!![emoji23][emoji23][emoji1787]
Badae usikose lazima nitupie humu leo nitajaribu kujipodoa nione [emoji6]!
MmmmmhUnatoaga wewe utumbo?
utumbo kama utumbo hapana aseee!!!Unatoaga wewe utumbo?