Yaan bonge la HIT tatizo hajafanya promo, afu wimbo umesimama hatareee,Mashairi yamesimama[emoji119]
Huyu jamaa fundi sana
Nimepitwa na countine ya shule, nimemiss ugali na ndondo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] panasikitisha sana Mkuu!
Hatari sana[emoji847]Maisha ni SAFARIView attachment 2208976
Shingo nene[emoji847][emoji847]Maisha ni SAFARIView attachment 2208976
Sasa mie ndo napenda wale wa too personal, lazima iwe tofauti kat yangu na yake, akuuuuh.Ingawa sipendagi hizi Stori za kusifiana sifiana uzuri hasa Kwa mwanaume Ila Ngoja nikuambie kitu mrembo wangu..
Haijalishi mwanaume au mwanamke anaponda kiasi gani kuhusu kumiliki mwenza mzuri wa mwonekano ..uhalisia ni kwamba kila binadamu anapenda amiliki mwenza anayevutia Kwa mwonekano..hizi Stori za napenda mwanaume personal ni kufurahisha genge tu
Nakuja na fact nyingine...[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwangu ni big nehiiiiiiiii.Nyingine ni hii..
Mwanamke anapenda kuona mwanaume wake akisifiwa na wanawake wenzie,Ila hapendi kuona mwanaume wake akiwatongoza hao wanawake
Narudi tena..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niko tofauti mnoo na hizo tafiti zako.mwisho..
Kila mwanamke anapenda kuwa na mwanaume anayevutia.Kinachofanya mwanamke anakuja na kauli km yako ni either aliumizwa na hao mnaowaita wenye mwonekano au hajiamini..anahisi atatendwa,au ataibiwa,au atasumbuliwa akiwa kwenye ndoa/mahusiano (watu wengi shuhuda zao ni zinazunguka hapo endapo utajaribu kutuliza swali)
Kwa hiyo ana-opt kuchagua hao "personal" ili mambo yasiwe mengi kipindi kwenye ndoa/mahusiano
Hii ina-apply na Kwa wanaume pia,ndy maana wanaume wanapenda Kusema wanawake wazuri ni wa show off Tu,Ila ukitaka kuoa tafta mwenye Sura personal ili maisha yaende..
Upi huo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwann asiseme yeye? Nawee kwann uchelewe kutuambia? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sikufikisha… naomba niuseme hapa..Watasoma..
Kwa wote mnaomwita Satoh ‘dokta… muachee , maana yeye sio dokta na wala hajawahi kufikiria kuwa.
[emoji2215][emoji2215]
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]Nimetulia kabisa mama mtumishi[emoji8]
Nini hii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeee......[emoji833] taulo na shuka.
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Ma favie colour.
View attachment 2209042
😍😍[emoji833] taulo na shuka.
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Ma favie colour.
View attachment 2209042
Mic u dea, mbna umepotea sana wee.[emoji7][emoji7]
Mr Vocha, upooo?Aiseeee......
[emoji173][emoji173][emoji111][emoji111]
Nipo mwaya😜Mr Vocha, upooo?
Hebu ni boost bas, nisherekee Eid el fitr. [emoji2][emoji2]
Mkwepu ata comment leo[emoji833] taulo na shuka.
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Ma favie colour.
View attachment 2209042
mahondaw njoo uone shouzzyyy[emoji833] taulo na shuka.
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Ma favie colour.
View attachment 2209042