Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,213
- 29,382
Ingawa sipendagi hizi Stori za kusifiana sifiana uzuri hasa Kwa mwanaume Ila Ngoja nikuambie kitu mrembo wangu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DR wee sitaki, tutagombania na wengine.
Nataka niwe na mtu, had waniulize "wee yule umempendea nn?" Uwiiiiiih
Mama mchungaji ebu weka na ka voice note kanogeshe hii nyimbo tafadhaliKassim anaimba yule boya, anabembeleza chaaa.
Lalalalalallaalaaaaaaaa
Tazama sura yako ilivyo nzuri
Macho mazuri, najihisi rahaaa
Tazama midomo yako mizuri
Miguu mizurii, najihisi raahaa
Tazama unavyonipendeza nipendezaaa, Najihisi rahaa
Tazama ninavyokupenda Nnavyokupenda, Najihisi rahaa
Napenda unavyoniheshimu kiukweli japo sio sana nakuomba zidisha
Napenda kauli zako ni nzuri japo sio sana nakuomba zidisha
Wanaosema asali inazidi utamu kuliko mapenzi nakataaa
Wanaosema asali inazidi utamu kuliko kupendwa nakataa ayaayaaya
Usiende kwa mganga (usiendeeee baby wangu)
(Usiende mpenzi wangu)
Nisikize mpenzi wangu
Lalalalalalilihaaa lalahaalaaah
Nyingine ni hii..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DR wee sitaki, tutagombania na wengine.
Nataka niwe na mtu, had waniulize "wee yule umempendea nn?" Uwiiiiiih
β€β€
mwisho..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DR wee sitaki, tutagombania na wengine.
Nataka niwe na mtu, had waniulize "wee yule umempendea nn?" Uwiiiiiih
Sikufikisha⦠naomba niuseme hapa..Watasoma..
Ha ha haaaaaaNi zaidi ya gram 10 dadaπ₯°π
[emoji173][emoji173]
Asqnte dear[emoji120]Hellow! Umependeza !
Hako ka mkanda kasogeze ukavalie hapo juu ya tumbo chini ya kifua ukabane katanoga zaidi!
[emoji3][emoji3]ulijuajeEwaa
Hapo alipokavalia kanaelea[emoji6]
Itakuwa alilegeza baada ya kutoka kula
Nimetulia kabisa mama mtumishi[emoji8]Mama abiud. [emoji8][emoji8]
[emoji120][emoji120][emoji3059]
[emoji85][emoji3]Chombo ya kaka[emoji847][emoji91]
[emoji120][emoji120][emoji8]wizooWifi kama wifi[emoji91][emoji91][emoji91]
Globalisation [emoji901]View attachment 2208466
Na tabia ya kununua vitu vingi unaweka kwenye mfuko kisha ukirudi nyumbani unashindilia [emoji51]