Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,259
- 49,192
Mbona ghafla Sana hujatuandaa mawifi tumpokee uliemfolo huyo[emoji1]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mbona ghafla Sana hujatuandaa mawifi tumpokee uliemfolo huyo[emoji1]
Huko nilishapita mkuu...Napenda hii nyimbo tu[emoji4]Mbona ghafla Sana hujatuandaa mawifi tumpokee uliemfolo huyo[emoji1]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]Mpole mno
Hadi unakera
Na pia una kaukali fulani hivi mtu akikuzingua. Kuna siku nilikuzingua makusudi tu yaani halafu ulipokasirika nikajisikia vibaya. Mi nami sometimes yaani dah! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji23][emoji23]
Hamna naongea japo si sana
Na pia una kaukali fulani hivi mtu akikuzingua. Kuna siku nilikuzingua makusudi tu yaani halafu ulipokasirika nikajisikia vibaya. Mi nami sometimes yaani dah! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nani kasema wewe dada yangu? Ila usijali sweety, tatizo life! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Dah mkuu kweli unagombaniana hizi vocha na sisi dada zako[emoji26]
Sasa eti si utumbo utakuwa wa kijani!! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]Foxhound njoo upoze[emoji39]View attachment 2206641
Fureeesssshhh Wige!✌️Mambo [emoji849][emoji848][emoji1787]
Yanii bora umekuja palipwaya sana hapa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] furahi shouzzz angu, yaan nikiwepo wee lazima ufurahi tyuuh.
Good morning boss ladycoca ni chizi!!! Akili zake anazijua mwenyewe!
Morning too friend!Good morning boss lady
You are missed
Usisahau kuselfika
Nkamu wewe mjanja sana[emoji23][emoji23][emoji23] so fasta ukaangalia profile[emoji28]
Hee😃Nani kasema wewe dada yangu? Ila usijali sweety, tatizo life! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji4][emoji23][emoji23]uainitisheSasa eti si utumbo utakuwa wa kijani!! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Hapana nkamu Wala sijaview profile[emoji4]
Kuna siku niliona mnajadili humu kuhusu hizo birthday na Karma nadhani ..akasema mmepishana siku 2.
Ulitaja tarehe[emoji23]
Shouzzz achaga uongo wako, akati natokaga hapa ili watu wafurahi, maana naambiwa nikiwepo hapa watu wanakereka na kuboeka,Yanii bora umekuja palipwaya sana hapa!!
Kuna mtu kaniambia hivi, "wee akili zako zinajisett kulingana na wakati husika, hazieleweki" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]coca ni chizi!!! Akili zake anazijua mwenyewe!
Selfika bhana shouzzzz, km sivyo natembea uchi kutoka JF had FB, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Morning too friend!
Tatizo kamera yangu inazingua kweli sikuhizi Ndiomana.