Kanani hako??
Wewe toto
Ndo nini eti jamani umeandika
Nawapenda wote wawili equallyMbona babe tena!
Mchague Karma jamani, mimi nabaki huku Tz
Hapana
Kwanza naogopa ndege, toka niko mtoto
Here I am dear
[emoji2][emoji2][emoji2]Nakufata uko ulipo nikugeukie vizuri
Mkuu kwenye ile handle uliyonipa nimeona picha yako sehemu sehemuJamani dada hautaki kukwea pipa kuenda 'teksasi" ili nipatepo ka lift na mimi nifike kule
Wewe huyo...
Acha uoga bna.Hapana
Kwanza naogopa ndege, toka niko mtoto
Nawapenda wote wawili equally
Mkuu kwenye ile handle uliyonipa nimeona picha yako sehemu sehemu
Mimi huyu Mangi [emoji134][emoji134]
Selfie!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie huwa nakuogopaga bana! Hukawii kunibadilikia
For the first time it is happening to me and youHakuna kitu kama hiko
Kweli enh??
Kwenye mtandao fulani hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sehemu gani??