Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

hahahaaaaa....mie nishazseka msukuma!
Nimeona huu mtanange nikakukumbuka Bosi Ledi. Isije ikawa umeenda filidi mahali kunoa pedagogical skills zako za Kemia umbo lako kali limewachanganya maboya hawa mpaka wamelimana mapanga [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2202471
Hayo mambo nishastaafu 😘😘😜
 
Usemi utoke wapi sasa soulimeti wakati kila kitu ni self explanatory?

Kawe na siku njema iliyobarikiwa sana. I hope yule boya aliyekupiga chini ulishamfurumusha mazima kutoka moyoni mwako...na kuna mfalme mpya amekalia kiti cha himaya sasa [emoji122][emoji122][emoji16][emoji16]
Dah nashukuru nilisha move on, ila mfalme mpya mmh no....
 
Kiupepo mwanana safi sana...mpaka kiusingizi cha kishikaji kinanijia yaani dah!
20220427_134742.jpg
 
Back
Top Bottom