Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Karibu mkuu😀😀😂😂 sasa kikubwa huwa kinakuwaje kama hiko ni kidogo😂
Karibu mkuu😀😀😂😂 sasa kikubwa huwa kinakuwaje kama hiko ni kidogo😂
Tunafanya makazi magumu sana ndo maana...usiku na mchana!Nasikia kwa wasukuma hiyo ni startermnakula sana nyie watani



Hips za hivo nzuri sana Shangazi😎😎View attachment 2202829
Mjomba [mention]Shimba Ya Buyenze [/mention] ila ya zamani kidogo...
Kitu cha namba tisa![]()
Namba tisa wapi kitu namba 8 kabisa tena British!View attachment 2202829
Mjomba [mention]Shimba Ya Buyenze [/mention] ila ya zamani kidogo...
Kitu cha namba tisa![]()

Ngoja nimuombe ruhusa Baba Mchungaji hapaMama Mchungaji. Jana usiku uliahidi kuwa leo utaselfika nikiwepo. Haya nipo hapa sasa. Hebu na tuone hayo magauni ya maputo sasa![]()
hapa nimejifunika na nimefanikiwa kuzalisha joto hata kichwa hakitoki ndani ya ma blanketi . Ukitoa kichwa ulipigwa na baridi hadi kurudisha joto ni mda 😫😫Mjomba hapo inabidi ukoke moto tu![]()
AseeeKiupepo mwanana safi sana...mpaka kiusingizi cha kishikaji kinanijia yaani dah!
View attachment 2202785
Beautiful....Nipumzishe fuvulangu sasaView attachment 2202836
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hips za hivo nzuri sana Shangazi![]()


Yaani hilo nguna mtoto haruki😂🙌 afu wanapenda ugali sana au wali ni adimu huko?😛
Ngosha!
watu mna ma fuvu mazuri karembo kenyewe kazuri .😋😋Nipumzishe fuvulangu sasaView attachment 2202836
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Namba tisa wapi kitu namba 8 kabisa tena British!
Asante aunt. You made my night and forever be blessed![]()
Aah kazi gani kuvua samaki? Nyie ni walafi tu or sorry walaji😂Tunafanya makazi magumu sana ndo maana...usiku na mchana!![]()
Nimebahatishs kukuona leo ukiwa umesimama, nataka nikuquote tu nakuta picha kushneyMjomba nadhani hips unazijua vizuri hapo hamna kitu...
![]()
Angalau hii nimeiwahi Auntie wa JuniaNipumzishe fuvulangu sasaView attachment 2202836
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app


🙂🙂 Ugali ugali tunahitaji nguvu.. hatutaki uonevu kama mnao wafanyia vijana wa darYaani hilo nguna mtoto haruki😂🙌 afu wanapenda ugali sana au wali ni adimu huko?😛
Kila nikiingia nakuta manyoya yako khaaaBeautiful....