Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,438
- 52,925
Nimeuona sio mchezoKwan wewe hujamuona [emoji4]
Nimeuona sio mchezoKwan wewe hujamuona [emoji4]
Zimeandaliwa vzr sana mkuu[emoji4]Hivi salads hizo hazikuletei amoeba [emoji23][emoji23][emoji23]mimi nikigusa lazima nihangaike
Lenie kwema mpendwaUponyaji uwe juu yako kamandaView attachment 2202264
Huu sasa utani dadeki [emoji51]
Bageshiii [emoji91][emoji91][emoji91][emoji870][emoji870]Uponyaji uwe juu yako kamandaView attachment 2202264
Naogopa kujaza kitambi 🥴🥴Hujawahi jaza sahani
Achana na hiki kiporo....jiandae kwa chapati maharage jioni! 😉😋Naomba 😋
Nimeona huu mtanange nikakukumbuka Bosi Ledi. Isije ikawa umeenda filidi mahali kunoa pedagogical skills zako za Kemia umbo lako kali limewachanganya maboya hawa mpaka wamelimana mapanga [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]Hamna wao wananiona kila siku wameshanizoea !!
Halafu utoke hapo uende kupiga Grants? Labda kama nyama ipo inakuja [emoji16][emoji16][emoji16]
Halafu akina Musa na Eliya wanatikisa vichwa tu ili kuunga mkono hoja [emoji122]Una hatari sana, hata Mungu anajivunia kwa kutoa chombo kama wewe.. akikutazama anamuambia Gabriel umeona kitu hicho.. Mungu asifiwe kwa kuumba asee.. maana hajapata hasara kabisa kukuumba wewe [emoji851][emoji851]
Nini kinaendelea hapa? Ni pisi yako au hiyo miguu ni yako mwenyewe? [emoji15][emoji16][emoji16]
Hiyo jamani ilivyokutoka sasa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wewe unataka kukulana muda wote tu jamani
Mgonjwa wetu nimemuulizia kama na leo joto bado liko juu naona hakunielewa. I hope ameshapata dawa [emoji16][emoji16][emoji16]Ni kweli
Kabisa kabisa
Yaani mtu huwezi kuhusisha na Kilingeni Msata kabisa dah! [emoji16][emoji16][emoji16]
Bageshi jamani😅😅😅Bageshiii [emoji91][emoji91][emoji91][emoji870][emoji870]
Halafu sijui kwa nini nina bahati mbaya na akina bageshi. Hili suala huwa silielewi kabisa yaani. Nilishajaribu kwa Minza nikapigwa chini. Nkwaya napo yale yale. Kundi down. Milembe wa Kidinda pale hakuna kitu. Njille wa Bugando napo hakuna. Hata Nchama wa Alabama nako yale yale. Kuna tatizo gani na hawa akina bageshi?
Wigelekelo na T 1990 ELY mje mnipe muongozo kwa kweli. Huwa mnafanyeje ili kuwapata akina bageshi wetu? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mimi niko poa bageshi...Bageshi jamani[emoji28][emoji28][emoji28]
Umenifurahisha ujue
Umeamkaje lakini bageshi
Huku tuko poa, bado nipo kwa majukumu.Mimi niko poa bageshi...
Natumaini hata nyie hamjambo huko. Nawasubiri hao akina ngosha waje kunipa mwongozo hiyo ishu yangu [emoji16][emoji16][emoji16]