Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Hauna kapicha ka mashavu yalivonenepamo hapo???
![]()
ngoja yapungue nitaleta

Hauna kapicha ka mashavu yalivonenepamo hapo???
![]()

Basi hapo hauna shida aisee tumbo huwa linakera .. Mimi Ninacho katumbo ka chipsi au nikishiba kinaonekana .Uzuri huwa sina tumbo ila mikono naiona nayo imekuja kuja si haba
nitashare maendeleo May mwishoni nimepungua vipi
Ng'wagūkū nkoyi.....
Nzūgū PM dūyombe nkoi..
Seba Agūlang'hane nzunone...
Ūbebe bachimage guke....
Liyagamba litemi Lyang'waLūgiko![]()


Unatubania sana pichangoja yapungue nitaleta![]()

Kero kwenu lakini kwetu ndo burudani toshaUnene wa kujazia kwenye mapaja ni kero zaidi unaweza vaa taiti kumi ili usichubuke wakati unatembea






Baada ya mfungo nikumbushe nikutafsrie



Wanavaa underskirt tu hapo ili kusaidia kidogo hiyo friction .Unene wa kujazia kwenye mapaja ni kero zaidi unaweza vaa taiti kumi ili usichubuke wakati unatembea
Unashiba kweli?
Natamani ni comment kitu ila basi ngoja mfungo 😬Kero kwenu lakini kwetu ndo burudani tosha![]()
Cha kufia nini tuandazi tuwili☹️
😂Cha kufia nini tuandazi tuwili☹️
Mimi nanenepa mpaka kichwa yaani mpaka vidole 😬😬kwa kweli unene ule wa mwanzo siutaki hata kwa dawa😟Basi hapo hauna shida aisee tumbo huwa linakera .. Mimi Ninacho katumbo ka chipsi au nikishiba kinaonekana .
Ooh can't wait for the update nisikie jinsi ulivyo shusha hizo calories .
Haya umenunua au umepika mwenyewe ?
Nilitaka kushangaa mpendwa mimi kwenye kula sitaki utani😬😂
Ya kufungulia tu.
Nipo napika chakula
Hilo trela tu mchumba😂Unashiba kweli?
😬😬Umenikumbusha jana nimeenda kununua chapati mwe mwe kama gazeti tena kwa mia 700Haya umenunua au umepika mwenyewe ?
Siku hizi wanapunja vitafunio hao .
Nimenunua😂Haya umenunua au umepika mwenyewe ?
Siku hizi wanapunja vitafunio hao .
Ulifanya mazoez ukapungua ??Mimi nanenepa mpaka kichwa yaani mpaka vidolekwa kweli unene ule wa mwanzo siutaki hata kwa dawa
![]()