Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Enzi za ujana nilikutana rafiki yangu nje ya Bank, si tukasema tupige picha kama ukumbusho wee tulikoma na kujuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣 ulijuta kupiga picha.

Nikipiga picha sehemu kama hizi huwa najidai kutuma sms😂😂hujui kama napiga picha.

Lakni kuna siku moja usiku nilipiga picha mahali kumbe flash iko on kudadeki🤣🤣🤣
 
Nilianza kupoteza hamu ya kula, nilikuwa naweza kula vipande vinne vya mkate naona nimetosha.

Kuna siku nilikula kuku hata paja sikumaliza na chips kidoogo.
Nikaona kuna shida mahala, nilifunga kama wiki 2 nikinywa maji tu usiku ndipo nakula, sasa hivi niwekee nusu ya wali namaliza.

Mwili umerudi kama zamani, naupiga mwingi sana.

mimi natafuta kitu cha kukata hamu ya kula maana si kupenda huku vinono
 
.
 
Attachments

  • 08f21b94-a6b7-482b-b57b-ce6d5c851ee9.jpg
    08f21b94-a6b7-482b-b57b-ce6d5c851ee9.jpg
    89.4 KB · Views: 25
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulijuta kupiga picha.

Nikipiga picha sehemu kama hizi huwa najidai kutuma sms[emoji23][emoji23]hujui kama napiga picha.

Lakni kuna siku moja usiku nilipiga picha mahali kumbe flash iko on kudadeki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tuliambiwa tunataka kuratibu ujambazi ehee jamani mara tuchuchumae uwii nilikoma mwehu yule askari[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.

Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!

Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.

img_3_1650449761820.jpg
img_3_1650449761820.jpg
 
Nilianza kupoteza hamu ya kula, nilikuwa naweza kula vipande vinne vya mkate naona nimetosha.

Kuna siku nilikula kuku hata paja sikumaliza na chips kidoogo.
Nikaona kuna shida mahala, nilifunga kama wiki 2 nikinywa maji tu usiku ndipo nakula, sasa hivi niwekee nusu ya wali namaliza.

Mwili umerudi kama zamani, naupiga mwingi sana.
Kama unakula vizuri, unajisikia vizuri na unaonekana vizuri basi kweli unaupiga mwingi 👏🏾👏🏾👏🏾
1st time I'm using that kamsemo btw 😁😁

Mie nakula kidogo kwasababu nimeshazoea ila nilianza kwaajili ya kumaintain mwili. Mwenyewe natamani kufunga kama wiki mbili hivi ila kuna kauvivu flani hivi kamening'ang'ania 😟😟
 
Ng'wagūkū nkoyi.....

Nzūgū PM dūyombe nkoi..

Seba Agūlang'hane nzunone...

Ūbebe bachimage guke....

Liyagamba litemi Lyang'waLūgiko [emoji123][emoji123][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1420][emoji1420][emoji1420]
Swaumu Kali hatujaelewa

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kama unakula vizuri, unajisikia vizuri na unaonekana vizuri basi kweli unaupiga mwingi 👏🏾👏🏾👏🏾
1st time I'm using that kamsemo btw 😁😁

Mie nakula kidogo kwasababu nimeshazoea ila nilianza kwaajili ya kumaintain mwili. Mwenyewe natamani kufunga kama wiki mbili hivi ila kuna kauvivu flani hivi kamening'ang'ania 😟😟
😁😁 Upigwe mwingi sana.

Ujue nyie wanawake wa ki afrika inabidi muupige mwingi sana tokana na asili ya maumbile yenu.

Kufunga ni tiba nzuri, ina faida nyingi.
 
Balansidi dayati...

Ukimalize sasa siyo uguse guse tu halafu ukiache kama ilivyo kawaida yenu high class. Hata kubeba kilichobaki hata kama hakijaguswa huwa hamtaki. Huwa nawamaindi sana yaani [emoji16][emoji16][emoji16]

Nilimaliza ila sijui hizo Broccoli nimezishindwa [emoji3]hizo ndiyo zimebaki kidogo.

High class wapi ..! wa matopeni tu sisi
 
Back
Top Bottom