Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Moja hiyo 700 ?Umenikumbusha jana nimeenda kununua chapati mwe mwe kama gazeti tena kwa mia 700
Yaani tunanyooshana tu safari hii
Binafsi sasa hivi siwezi nunua vitumbua maana hawaweki sukari mule na havina mafuta ni vibaya
Naviongelea hivi vya mtaani .


