Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Kwa nini?
Kwani inaleta matatizo yeyote kiafya?
Nanenepa sana maana napenda kula
siku hizi kila mtu akiniona salamu ya kwanza ni mbona umenenepa sana, inaudhi
Kwa nini?
Kwani inaleta matatizo yeyote kiafya?
Hapo broccoli,cauliflower,mishikaki miwili na viazi viwili am good....![]()
😮Nanenepa sana maana napenda kula
siku hizi kila mtu akiniona salamu ya kwanza ni mbona umenenepa sana, inaudhi
Inanakera hapo mwenyewe hujioni kama umeongezeka ...Kumbe mishavu hiyoNanenepa sana maana napenda kula
siku hizi kila mtu akiniona salamu ya kwanza ni mbona umenenepa sana, inaudhi

Jaribu kufunga mkuu.
Inanakera hapo mwenyewe hujioni kama umeongezeka ...Kumbe mishavu hiyo![]()
Safi sana, hapo mwili utaunguza mafuta ya ziada utakaa poa tu.huwa nafunga kama hapo toka asubuhi ndiyo nimekula hivyo , hapo nitakula tena kesho jioni.
Uso unakuwa mpana hiviYaani na mimi nanenepa hadi Uso Unene hapana kwa kweli
Unene ukizidi sana ni kero aiseeYaani na mimi nanenepa hadi Uso Unene hapana kwa kweli
Safi sana, hapo mwili utaunguza mafuta ya ziada utakaa poa tu.
Uwe unapima na uzito kuangalia progress.
Unene ukizidi sana ni kero aisee
Yaani hapo unavumilia kiubishiMashavu sasa![]()
kero haswaaa yaani
Unene wa kujazia kwenye mapaja ni kero zaidi unaweza vaa taiti kumi ili usichubuke wakati unatembeakero haswaaa yaani
Hauna kapicha ka mashavu yalivonenepamo hapo 😜😜😜🤔???😂😂😂Mashavu sasa![]()
Nipo mbezi unakosemaga huwezi kupitaNipo wewe uko pande zipi![]()
Yaani hapo unavumilia kiubishi
Kikubwa kumantain size ya tumbo .. likiongezeka ndo shida hapo .

Unene wa kujazia kwenye mapaja ni kero zaidi unaweza vaa taiti kumi ili usichubuke wakati unatembea