Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,988
- 48,485
Aya bhana
Sasa unabisha kama kitumbua si wali?
We ukila wali maharagwe mi nikala kitumbua maharagwe tuna tofauti?
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Aya bhana
Sasa unabisha kama kitumbua si wali?
We ukila wali maharagwe mi nikala kitumbua maharagwe tuna tofauti?
Wanasemaga hivyo walevi… kisa zote ni ngano/ zimejaa wanga..bia si ina shayiri…
Ndio maana wana vitumbo ndiii

kitumbo ndiiAsante WigeKaribu Moshi
Hapana nimeenda kuwasalimu tuUnaenda chota mihela eeh
Nitakuwa nachekwa muda wote.mguu hauendani na traaaakoWapo wanaopenda vichura vidogo watatuma maombi
Ng'wagūkū nkoyi.....Hahaha
Ndoho bhageshi odenanikeja mhayo oseose
Eng'washi












Huo ugali unashiba?
Dogo kumbe upo mjini??
😂😂😂😂dagaa
Mimi ugali huo sishibi![]()
Dagaa zilikuwa tamu kweli mpaka nikaongeza mboga 😋dagaa
Mimi ugali huo sishibi![]()
Kabisa 🙂Huo ugali unashiba?
Nilianza kupoteza hamu ya kula, nilikuwa naweza kula vipande vinne vya mkate naona nimetosha.Kabisa 🙂
Mnyama huyo dah!




