geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,235
mwamba
Kwema…
Santo sana mkuu!✌️✌️✌️ hello!
nikinenepa huwa najaa zaidi hapa Kati trako ndio kabisaaa linamiminika[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji848];Tako je?
Hii inabidi niombe msaada kwa ndugu yangu Shimba Ya BuyenzeNa hapa Lenie
Born town au sioHii inabidi niombe msaada kwa ndugu yangu Shimba Ya Buyenze
Hapa kati[emoji3]nikinenepa huwa najaa sana hapa Kati trako ndio kabisaaa linamiminika[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji848];
Uzee huu unanifanya nisahau kikwetu jamanBorn town au sio
Ndiioooo!!![emoji12][emoji12][emoji12]Hapa kati[emoji3]
Kwema mkuu
Hapo ni bonge la vibration....yaani na hizo hips shem anapata raha sana ukijipitisha mbele na khanga mokonikinenepa huwa najaa zaidi hapa Kati trako ndio kabisaaa linamiminika[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji848];
Hahaaaa!!!Hapo ni bonge la vibration....yaani na hizo hips shem anapata raha sana ukijipitisha mbele na khanga moko
[emoji23][emoji23][emoji23]hii kiboko Mimi nimeshindwa kunywa na siwez tena nilikuwa na bosi wangu mlevi balaa Yan ni karibia kilasiku anakunywa watu wakawa wanasema nitaonja lkn wapi na namsindikiza kabisa nimeishia Azam embe[emoji1751]Juice huwa naweza weka, lakini beer zimenishinda, kila nikipita karibu na fridge nasikia bia zinaniita nizinywe, nikifungua kunywa maji ndio zinapiga kelele "tunywe, tunywe", dah, nimeshindwa kabisa kutunza beer.
Na ilikuwa tamu haswa!!!🤤🤤Juice 😍
☺☺Beautiful [emoji41]
😊😊
😅😅😅😅[emoji23][emoji23][emoji23]hii kiboko Mimi nimeshindwa kunywa na siwez tena nilikuwa na bosi wangu mlevi balaa Yan ni karibia kilasiku anakunywa watu wakawa wanasema nitaonja lkn wapi na namsindikiza kabisa nimeishia Azam embe[emoji1751]
Mnaokunywa mheshimiwe aise
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
🤔😒Aiiiiiiiiiihhhh yani nina kitambi balaa afu naona kimeanza kuongezeka tena![emoji134]