Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
Ni huzuni sana ankol..tuilaumu Tazara 🥲🥲Ankol jana tulikosana[emoji24]
Ni huzuni sana ankol..tuilaumu Tazara 🥲🥲Ankol jana tulikosana[emoji24]
Nipo singoWige wee ni chizi ujue!!!! Hauna kapicha ka huo mvimbo hapo???[emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Wannawake wa humu ni miguu tuu mara moja moja onesheni chura bana
Guu la champagne ndio hili sasa..
[emoji23][emoji23][emoji23]nakuwa mlevi mbwa [emoji23][emoji23][emoji23]Mie nimefundisha wengi sana kunywa, kama wewe tunaanza na vilevi vitamu, nakupiga kitu kama shandy, huo ni mchanganyiko wa bia na soda au kinywaji unachopenda kama hizo juice, kuna utaalamu namna ya kumix.
Kuna namna nyingi ya kukaribisha beginners kama nyie kundini.
Ukianza kuona vibe la kuwa high, nakuleta sasa kwenye wine zile za beginners, nakuleta kwenye strong beer, nakurudisha kwenye whiskey zile laini nakurudisha kwenye Konyagi, hapo gari limekolea umekuwa master nakutunuku cheti, wote tumekuwa walevi, fresh.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
MzimaHahha rafiki
Sema tumefika mbali
Nguvu moja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]Zis iz Thimba!
Enjoy kwaraha zako mdogo wangu ukishaingia chamani huo uhuru hautakua nao kiivo!Nipo singo
Nainjoi
Nipo poa vipi weweMzima
Kufuli zito kwanini[emoji848]
Then lie under the coversSad generation.[emoji24][emoji24][emoji24]
We are dating people who are busy doing meet ups with other people while we still in the picture, people who are brave to sleep with someone else and come back to sleep with you. A person who will look deep in yours eyes & say I love you while they don't mean it.
Yan mie Basi nimekaa na mlevi na nimeshindwa kunywa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mlevi mbwa?[emoji23][emoji23][emoji23]nakuwa mlevi mbwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
KuleNipo poa vipi wewe
Kufuli lipi hilo ?
Naangalia hapa pia