Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,493
- 203,183
Utaikuta huko huko 🤣🤣
Na imeisha sasa ❤️ turudi tukajiandae na kesho 😉😉
Braza anafaidi sana 😍😍
Utaikuta huko huko 🤣🤣
Asante boss lady😘Una miguu mizuri lainiiiii ✌️✌️✌️✌️;
Braza anahudumia vema , ananifanya ning'aree😂😂Utaikuta huko huko 🤣🤣
Na imeisha sasa ❤️ turudi tukajiandae na kesho 😉😉
Braza anafaidi sana 😍😍
Wauweeeee 🔥 🔥Braza anahudumia vema , ananifanya ning'aree😂😂
Eeh niikute saa hii basi
Na kesho venye nitakua busy🤣🤣🤣
Inabidi kuwahi kulala leo ili kesho mwili uamke na full energy😅Wauweeeee 🔥 🔥
Kwani ilikuwa pic ya maana hata 🤣
Hapana chezeya ubize wa blue Monday
Bageshiiiiiiiii !!!



Wewe Ndiyo tumepishana hapo Riverside.......??Ndiomana sipendi kupiga picha kwa mbele....
kitambii!View attachment 2199201
Kimefunikwa na gushepu😍😅Ndiomana sipendi kupiga picha kwa mbele....
kitambii!View attachment 2199201
Bageshi umemisikaBageshiiiiiiiii !!!![]()
Aiiiiiiiiiihhhh yani nina kitambi balaa afu naona kimeanza kuongezeka tena!Kimefunikwa na gushepu
Hakionekani hata

Lakini si unafanya mazoezi Boss Lady?Aiiiiiiiiiihhhh yani nina kitambi balaa afu naona kimeanza kuongezeka tena!![]()
Nipo bageshi.Bageshi umemisika

Yani nafanya msukuma ila naona nimeanza kunenepa tena...mie nikinenepa na tumbo linanenepa Kweli!!Lakini si unafanya mazoezi Boss Lady?
Dawa yake ni kutafuta tu bana tumbo, maana diet nayo kipajiAiiiiiiiiiihhhh yani nina kitambi balaa afu naona kimeanza kuongezeka tena!![]()
Sasahivi nakula kama mchwa !! Afu kila saa nasikia njaa !!Dawa yake ni kutafuta tu bana tumbo, maana diet nayo kipaji
Niko naye hapa anakula musicNipo bageshi.
Ni hekaheka tu za maisha.
Msalimie dadangu![]()
Yaani kuna watu wanakulaaa ila wala hawanenepi, wengine sasa hapa tukinusa tu msosi mzuri kitumbo hiko!🙄Sasahivi nakula kama mchwa !! Afu kila saa nasikia njaa !!