Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Msuko unaitwa utumbo? Hahaha
Me leo mpaka kuna shost mmoja wa shule ameniuliza kwani we uwa ni msabato?
Nikamwambia hapana

Kanambia naomba usuke


Ndio dear unaitwa utumbo wa uzi
Mtu anapendeza sana sema unauma huu refer nywele za uzi zilivyo ...Niliusuka mwaka jana hivi ni msuko mzuri .

Hajawajahi kukuona umesuka eeh ... Huwa unasuka hata mara mbili kwa mwaka kweli ?
 
Huo msambandwa ulivyo mie hoi..
Ujue kuna misambandwa hainaga formula, huu wa kwako ni perfect parabola

Halafu hio nguo uliyovaa imenivutia, kumbe upo vizuri kwenye kupangilia bling bling..
Camera tu hio mkuu mie flat screen kabisa!!πŸ™ƒ Ila asante ✌️✌️
 
Ndio dear unaitwa utumbo wa uzi
Mtu anapendeza sana sema unauma huu refer nywele za uzi zilivyo ...Niliusuka mwaka jana hivi ni msuko mzuri .

Hajawajahi kukuona umesuka eeh ... Huwa unasuka hata mara mbili kwa mwaka kweli ?
Me najua tu vitunguu na yebo 🀣 sijui nama krochi…

Nimemtumia picha nilizokuwa nimesuka December 🀣 akanijibu unazingua sana.. nilisuka, January to February nikawa nachana… sahivi nimenyoa, tena nimenyoa chini kabisa
 
Juice huwa naweza weka, lakini beer zimenishinda, kila nikipita karibu na fridge nasikia bia zinaniita nizinywe, nikifungua kunywa maji ndio zinapiga kelele "tunywe, tunywe", dah, nimeshindwa kabisa kutunza beer.
nimecheka sana aisee, hizi hazitunziki
 
Back
Top Bottom