Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,180
- 184,996
Yanii... juzikati niijitahidi diet na mazoezi nikapungua sana ila naona sikuhizi nafeliiii!!Yaani kuna watu wanakulaaa ila wala hawanenepi, wengine sasa hapa tukinusa tu msosi mzuri kitumbo hiko!🙄
Life is not fair kabisa