Selfika na JF: Snap it. Show it

Id ya zamani

Nani vile[emoji848]
 
Niliassume eti kila mtu anafuatilia Nollywood as I do. Maana Kila nilipokuwa nakatiza ni habari za #ReelDeal2022#
Nilikuwa busy kuangalia Asoebi ili nikamstress fundi wangu[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2194995

Halafu niliona kama ana mimba,nilivyoona ile tradition attire ina corset nikabaki njia panda..
 

Halafu cha kushangaza asilimia kubwa ya handsome men huwa wana end up na wanawake wa kawaida sana...
 
Naona wewe tayari ushafunga ukurasa, unalea tu sasa.
kitambo sana...nilitaka kuolewa nilipomaliza form 6 ndugu wakakataa bado mdogo.... akasubiri huku tunaiba iba ila nikama nilikua nimeolewa nae tu kwani likizo zote za chuo muda mwingi nilikua naenda kwake ananihudumia kama mkewe Ndugu zake wanajua wangu wanajua.. 3rd year akanitundika mimba! Na tukafunga nae Ndoa rasmi 2016! Sasa tuna watoto wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…