Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Leo tena
IMG-20220419-WA0027.jpg


Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Nisingepata usingizi leo bila kukuskia.

Ubarikiwe sana wewe na baba mtumishi mwenzangu.

Sina wasiwasi wowote pisi Saint Anne huwa inafikisha salamu zangu
Ubarikiwe pia mdogo angu.

Kwa kweli pamoja na bangi zake zote; huwa ananifikishia salamu zangu kwa uaminifu. Nashukuru sana

Salamu za dhati kutoka kwa familia yangu.
 
Ubarikiwe pia mdogo angu.

Kwa kweli pamoja na bangi zake zote; huwa ananifikishia salamu zangu kwa uaminifu. Nashukuru sana

Salamu za dhati kutoka kwa familia yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app


Nimembadilishia plant.

Badala ya cha malawi saivi anatafuna cha Arusha OG kabisa.

Kwahivyo salamu lazima zikufikie.

Abundance of blessings to you, please
 
Ubarikiwe pia mdogo angu.

Kwa kweli pamoja na bangi zake zote; huwa ananifikishia salamu zangu kwa uaminifu. Nashukuru sana

Salamu za dhati kutoka kwa familia yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli pamoja na bangi zake zote; huwa ananifikishia salamu zangu kwa uaminifu

.......
Mbengooo utaisekeeeeaaaaaaaaa
Haifongokiiiii
 
Nyumbu tunauwawa uku

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Kuna watu niliwaambia hii mechi tushaimaaliza kabla hatujacheza.
Tutakachofanya ni kuwapunguzia tu idadi ya magoli.. badala tuwanyuke 5 kama mwanzo basi moja tutapunguza ili kuwapunguzia kutokujisikia vibaya sana.

Kiukweli Jana mchana niliangalia marudio ya mechi ya kwanza ..hadi huruma iliniingia jamani.
Wale wachezaji wa manure nao ni binadamu;wanahitaji huruma yetu liver.
 
Nipo hapa nacheki kagodauni kangu juu mpaka chini
Natafakari namna wametutusi watu wa stoo
🤣🤣🤣 ukumbuke na kukapanga vizuri, mikoba uondoe dirishani.

Stoo isn’t such a big deal, kuna stoo nyingine ni hall.. mpaka uwanja wa zoezi unapatikana… makapu jamani makapuuu…. Nilikufa mbavu 🤣🤣🤣🤣🤣🙂🙂🤣
 
ukumbuke na kukapanga vizuri, mikoba uondoe dirishani.

Stoo isn’t such a big deal, kuna stoo nyingine ni hall.. mpaka uwanja wa zoezi unapatikana… makapu jamani makapuuu…. Nilikufa mbavu
Itakuwaje sasa na kabati sina?
Hadi vibaka wanapita nayo madirishani
Zote hizi ni changamoto za kukaa stoo



Ila huyu wa kuanzisha makapu mbinguni haendi.
 
Back
Top Bottom