Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,847
🤣🤣Nitokee hapa na macho yako kama mayai ya samaki. Ulinipa mafuta nikawa na kitambi?
Hivi upo?
Kama upo nakusalimia tu mimi
🤣🤣Nitokee hapa na macho yako kama mayai ya samaki. Ulinipa mafuta nikawa na kitambi?
Niitie Davet wangu kwanza 🙂Chaaaaaah!!!!🙆♀️
Siku zote mbona huniambiii!!!
Sijapenda na nyie wote mlioleta hizo mada mtaingizwa kwenye moto wa kumkaanga shetani😂
E bwana eeeh???Niitie Davet wangu kwanza [emoji846]
[emoji1787][emoji1787] afu nikwambie nini? Na uliamua mwenyewe kuvutia sigara karibu na sheli
Sawa mkurugenziRoast duck...
Leo nakula bata...literally [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 2193343
NakujaRoast duck...
Leo nakula bata...literally [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 2193343
Sahani kama yangu jamani mideko
Kwa kuziangalia tu hizi ndizi ni tamu mno
Ukienda mrudi na kitu kinachoeleweka[emoji2088][emoji2088]Nakuja
Mamaa wa misosi!😋😋😋😋😋😋
Godauni for life 😹E bwana eeeh???
Umeingizia na sheli tena?[emoji23][emoji23][emoji23]
Tulia kwanza hapo godauni
Ngoja tukupe energy drink...
Muache Davet tafadhali..anakamilisha madili huko atuokoe majobless,,namuandalia vijana wa kupiga kazi.
Ila mdogo etu Sijapenda kabisa[emoji1787][emoji1787]
Hivi upo?
Kama upo nakusalimia tu mimi
😅😅Sahani kama yangu jamani mideko
Kama niniUkienda mrudi na kitu kinachoeleweka[emoji2088][emoji2088]
🤣🤣🤣Mamaa wa misosi!😋😋😋😋😋😋
Mwambie aweke 🤣🤣🤣 kwani mimi ndio nimezishika jamaniIla mdogo etu Sijapenda kabisa
Mmemtishia boss ledi ameshindwa kuweka screenshot.
Mbona huwaga tunaweka tu hapa na hakuna chochote kinachotokea.
Tuachie boss wetu aiseeGodauni for life [emoji81]
Hizo deals zipo tu, hanaga baya…. Ila muiteeee [emoji41]
Mimi nikimuita ni call mpaka saa 8 [emoji1787]
Unaelewa bwanaKama nini
Si nyie mmemtisha ooh ban na blah blah zenu kibao.Mwambie aweke [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani mimi ndio nimezishika jamani