Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Habari za uzima babuu!!✋✋ leo hujaenda shamba utupiepo tuone???
Nina siku mbili nimeshindwa kwenda shambani, mgongo una nisumbua sana Mjukuu. Niliongea na wenzako wanasema ni zamu yako kuniletea dawa za kuchua.

Fanya mpango uniletee hizo dawa niweze kujichua mwenyewe, wazee hatuwezi kukaa bila kufanya kazi 🤪🙊
 
😂😂😂
Nilale mie walking 🚶🏻‍♀️
Niwaaaacheee

Nakupuuza😂😂😂

20220419_213806.jpg
 
Mjomba mimi sina bahati na mafundi wa kushona kabisa,ndio maana sipendi nguo za kushona sana maana huwaga wananitolea mifuko ya mashine sasa sijui ni hii namba tisa?[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mzungu wetu wewe unapendeza ukivaa kizunguzungu tu
 
Back
Top Bottom