Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Wakati wa Mungu hufanya njia jangwaniWakati wa Mungu ni kama Upepo mkali
Ukuta huwezi kuzuia lazima utabomoka.
Wakati wa Mungu upepo mkali mlango huwezi kuzuia lazima utafunguka
Wakati waaa Mungu ukikujilia
Mwanadamu ni nani apinge??
Usichoke ngoja
Ngoja
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji120][emoji120][emoji120]
Paul Clement
Mito ya maji nyikani
Wakati wake hauna upinzani
Kumbe wakati wa Mungu
Huwafanya adui zangu kuwa rafiki zangu
Kila kitu huwa rahisi hata vilivyoshindikana