Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,209
- 183,050
Good morning shangazi Strawbella !✋! Nimekuona unapita kwa mbaliiii
Yooo shemeji niajeShukrani sana
mkuu asante kwa pongezi [emoji120][emoji120]!
wozaaaaa shem akeee!✌️✌️✌️😘Yooo shemeji niaje
Tufanye leo jioni ujiandae nitakuja kukuchua vizuriii afu taratiiiibuuuu staili ya kibabu babu!!😜😜Hahahaha.........Kwa jinsi ninavyo umwa ningetamani uniletee hata Sasa hivi hiyo dawa 🙊
Leo mvua nyingiiii
😂😂😂😂😂 sitaki dhambiItakuwaje sasa na kabati sina?
Hadi vibaka wanapita nayo madirishani[emoji38]
Zote hizi ni changamoto za kukaa stoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila huyu wa kuanzisha makapu mbinguni haendi.
Maasai Man 😊[emoji2414][emoji2414]View attachment 2193892
Weeee sisi ndiyo Utu na UtulivuBangi zenu zinaenda sambamba vichwani[emoji23]
Hivi mmliki wa makapu ni nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitaki dhambi
Na makapu yenu hayo
Hapo kwenye kawimbo mliupiga mwingi
Kijani mbele kwa mbele
Good morning shangazi Strawbella ![emoji113]! Nimekuona unapita kwa mbaliiii
Unaniangusha mkuu... ukawaacha kwenye mataa Kelsea na shangazi ile siku hawajaona asee