Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Huyo mwanaume hayupo hii dunia aiseeKuna watu hawana roho ya visasi na anajua miaka 3 yeye angeweza![]()

Huyo mwanaume hayupo hii dunia aiseeKuna watu hawana roho ya visasi na anajua miaka 3 yeye angeweza![]()

Chat na picha 😬Ngoja tumuulize
Malizeni huu mjadala sasa. Bosi Ledi hana mume bali anacheza tu na saikolojia zenu. Hakuna mke wa mtu anayeweza kuwa na audacity ya kuweka mahusiano yake na michepuko hadharani vile na kubinuka mitandaoni humu hata kama mumewe awe boya namna gani.Bado Mimi siamini aisee..
Yaani wabongo hawahawa??nyie![]()




Duh hivi ndivyo ulivyompiga mkeo mkuu?Malizeni huu mjadala sasa. Bosi Ledi hana mume bali anacheza tu na saikolojia zenu. Hakuna mke wa mtu anayeweza kuwa na audacity ya kuweka mahusiano yake na michepuko hadharani vile na kubinuka mitandaoni humu hata kama mumewe awe boya namna gani.
Na msije nanyi mkaleta za kuleta huko kwa wachumba na waume zenu kubebishana hadharani eti mnamuiga Bosi Ledi. Mtakuja kuselfika hapa mkiwa mmepigwa hamtamaniki!
Tuendelee na mambo mengine ya maana pulizi
View attachment 2193154View attachment 2193155
Tupo tumejaa tele wala hatusemiHuyo mwanaume hayupo hii dunia aisee![]()
Dah huu umbea unanivuruga sasa😆Malizeni huu mjadala sasa. Bosi Ledi hana mume bali anacheza tu na saikolojia zenu. Hakuna mke wa mtu anayeweza kuwa na audacity ya kuweka mahusiano yake na michepuko hadharani vile na kubinuka mitandaoni humu hata kama mumewe awe boya namna gani.
Na msije nanyi mkaleta za kuleta huko kwa wachumba na waume zenu kubebishana hadharani eti mnamuiga Bosi Ledi. Mtakuja kuselfika hapa mkiwa mmepigwa hamtamaniki!
Tuendelee na mambo mengine ya maana pulizi
View attachment 2193154View attachment 2193155
Kwahiyo nyie mnavumilia usaliti na mnasamehe?Tupo tumejaa tele wala hatusemi
Dunia ina mengi hii mkuu.Kwahiyo nyie mnavumilia usaliti na mnasamehe?
Nyie mnacheza movie akiyanani
Tangu nizaliwe sijawahi hata kumfinya mwanamke mkuu achilia mbali kumzaba kofi au ngumi. Labda ni vile vikofi vya kimahaba tu na kiutani tani...kuelekea bedroom.Duh hivi ndivyo ulivyompiga mkeo mkuu?

Oooh sorry nilijua ni wewe 🙏🏽Tangu nizaliwe sijawahi hata kumfinya mwanamke mkuu achilia mbali kumzaba kofi au ngumi. Labda ni vile vikofi vya kimahaba tu na kiutani tani...
Usinibebeshe kesi mkuu![]()
Amina rafikiUwe na j4 yenye baraka tele..
Eeh vamdala,namkwata indalama?Usiniambie....soo basi njoo pm huku nikumwagie ndalama tupeane mautamu
Jamn jmnKaribu na kinavyoniumiza hapa najikaza

Next timePole sana mjomba,next time![]()

Mshono mzuri huoWiFi zangu wanyakyusa
Mshonowa kitenge huu hapa
Saint AnnieHeaven SentTinsley na we shona
Watt wa AbiudView attachment 2193183
