Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Vitu kama hivi ndio anataka bro sasa😍Mara paah Mama mchungaji na 😎Utu na UtulivuView attachment 2193037
Vitu kama hivi ndio anataka bro sasa😍Mara paah Mama mchungaji na 😎Utu na UtulivuView attachment 2193037
Hivi sikukuambia bwana nilipewa hako kawimbo🥰
Imebidi nikachungulie vizuri isijekuwa nimepost picha ya watu. Kuna mshepu hapo au urefu?Binti Abiud
Huo mshepu wote wako 😛
Bro yupi tena? Anapenda vitenge?Vitu kama hivi ndio anataka bro sasa😍
Nimeona hipsImebidi nikachungulie vizuri isijekuwa nimepost picha ya watu. Kuna mshepu hapo au urefu?
Aaah ukajihisi umeimbiwa wewe?Hivi sikukuambia bwana nilipewa hako kawimbo🥰
Nivyokasikiliza sasa🤗
Daaah binti Abiud....Nimeona hips
Muhimu shepu nawe ni mashallah 🥰Bro yupi tena? Anapenda vitenge?
Nimevaa miwani ya babu Grahams leo 🤣Daaah binti Abiud....
Nyie nyie, mbona mimi sioni hilo li-shape kwenye hiyo picha?Muhimu shepu nawe ni mashallah 🥰
Kwa kweli, itakuwa miwani inakuza baadhi ya maeneoNimevaa miwani ya babu Grahams leo 🤣
Aaah ukajihisi umeimbiwa wewe?
Mahondaw 7 de CR7Self worth!!View attachment 2193048
What's wrong tmbaya aiseeh
Naumwa kidogo![]()
Mwanamke wa kiafrica huwezi kosa bana huwezi ona ila kwa sisi watazamaji 😍😍Nyie nyie, mbona mimi sioni hilo li-shape kwenye hiyo picha?
Duh kitu kama hiki brother hapa kaacha dhahabuSelf worth!!View attachment 2193048
Shem lake,, niaje?Self worth!!View attachment 2193048
Kifua yaaniWhat's wrong t

Forever and always 🤸✌️😘!Mahondaw 7 de CR7