Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20220419_133034.jpg
 
Kuwa main chick kuna raha yake bhana... Mambo ya kuhudumia sio muhimu sana
Mnatuchanganya ujue nyie warembo...sasa ikuwa mamabo ya kuhudumia sio muhimu ila kuwa main chick muhimu....kwani wee unadhani main chick anamzidi nini mchepuko?
Kwanza kuwa mchepuko raha wee kazi yako ni kula bata na jamaa basi no expectations.
 
Kila mtu ana preference zake rafiki
Main chick ndo ameteka moyo wa mwanaume na sio hao michepuko .

Acha wanaoweza kuwa michepuko waendelee na mambo yao ...
 
Back
Top Bottom