Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,200
Oi oi shangazi😂😂😂😂Ukipotea tunapooza sana mpaka tunaingilia shughuli zako za u mc[emoji2][emoji2][emoji2]
Oi oi shangazi😂😂😂😂Ukipotea tunapooza sana mpaka tunaingilia shughuli zako za u mc[emoji2][emoji2][emoji2]
Anavonipenda kufaaaa🤸🤸🤸🤸hebu mniache na mjeda wangu kila mmoja apambane na hali yake mazee mwisho wa siku kila mmoja atajibu dhambi zake!😂🤗🤗🤗Boss ledi uko na hakika mjeda alikusamehe kweli?
Dah!Asante,nikisimama kigodoro kinakaa vibaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2096][emoji2096]
Unanichoma boss ledi
Na anakupenda kweli laiti ingekuwa hawa vichomi wetu yaani akinusa tu harufu ya Usaliti ni kipigo cha mbwa talaka inafata kwa wazazi 😬Anavonipenda kufaaaa🤸🤸🤸🤸hebu mniache na mjeda wangu kila mmoja apambane na hali yake mazee mwisho wa siku kila mmoja atajibu dhambi zake!😂🤗🤗🤗
Weee Wacha wee🤗Anavonipenda kufaaaa🤸🤸🤸🤸hebu mniache na mjeda wangu kila mmoja apambane na hali yake mazee mwisho wa siku kila mmoja atajibu dhambi zake!😂🤗🤗🤗
Dah!
Nimepitwa.
Omujungu!
This hurts!
Siyo poa [emoji51]Pole sana mjomba,next time[emoji2]
Bado Mimi siamini aisee..Na anakupenda kweli laiti ingekuwa hawa vichomi wetu yaani akinusa tu harufu ya Usaliti ni kipigo cha mbwa talaka inafata kwa wazazi 😬
Na anakupenda kweli laiti ingekuwa hawa vichomi wetu yaani akinusa tu harufu ya Usaliti ni kipigo cha mbwa taraka inafata kwa wazazi 😬
Hio sio kesi yanguBado Mimi siamini aisee..
Yaani wabongo hawahawa??nyie😂😂😂😂😂
Natamani kujua akirudi mjeda huwa analala kabisaa usingizi unampitia mimi siwezi unashangaa unapigwa kisu cha moyo huku anakuchekea😬Weee Wacha wee🤗
Tuhadithie kidogo
Umebahatika mpendwa huyo bro hana mdogo wake niombe huku talaka nije huko kwenye neema hata ukisaliti 😬😬Hapigi mwanamke kabisa mana akimshika tu ni kesi ya mauaji!!
Siyo poa [emoji51]
Kuna watu hawana roho ya visasi na anajua miaka 3 yeye angeweza 😂😂😂Bado Mimi siamini aisee..
Yaani wabongo hawahawa??nyie😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!!Natamani kujua akirudi mjeda huwa analala kabisaa usingizi unampitia mimi siwezi unashangaa unapigwa kisu cha moyo huku anakuchekea😬
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!!
Kwa kweli tupambane na mahusiano yetuInatosha sasa pambaneni na hali zenu sasa!! ya bosi ledi tumuachie mwenyewe!!😂😂🤗
Ngoja tumuulizeNatamani kujua akirudi mjeda huwa analala kabisaa usingizi unampitia mimi siwezi unashangaa unapigwa kisu cha moyo huku anakuchekea[emoji51]